Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hampaswi kuwapa "sirI" tunayoyaongea huku
Yaani mmewaelezea kila kitu
Siku wakiiga mtaanza kulialia
Nashangaa hakukuwa na ulazima wowote kwenda kule kufafanua
Ni km mnamuelekeza jirani jinsi ya kutengeneza juisi tamu ambayo wewe unaiuza

Tuliokaa kimya tunajua sababu ya kufanya hivyo
Kafuteni bhana


......
Bora kuwaelimisha ili mwenye kujua ajue make sikuwa najua kipi kinaendeleaa ...japo niliona wageni wengii...

Sisi ni waungwana ngoja watujuee
 
denoo hahha ebu acha kumzungumzia lege usitukumbushe machungu ujue jana nilivyoona notification zake nikajua anaweka mke mwee unamuona denoo
Jamaa ni mtaalamu wa kusepa na kijiji, yani kila fix anaijua yeye na kama hiyo laptop yake ingekuwa inaongea basi ingenena mengi jinsi inavyosingiziwa.
 
mmh lini ulimpigisha sound mama mchuchu anaempigisha sound mpaka sasa binamu obe nae ameweka siraha chini ameamua amuachie mukongo wake


Umerogwa😡, niweke silaha chini ili niitwe muoga!! Wewe wa wapi wewe? nimerudisha majeshi nyuma narudi kujipanga. Maana inaonekana BH kuna kina nyie mnamtakia mema hamtaki awe na mimi sasa furahini sababu nimerudi kujipanga. Ni suala la muda tu
 
Bora kuwaelimisha ili mwenye kujua ajue make sikuwa najua kipi kinaendeleaa ...japo niliona wageni wengii...

Sisi ni waungwana ngoja watujuee
Usijidanganye
Wale wote ni mateja wa hii thread ila hupita kimyakimya(hawagongi like wala kukomenti)
Humu Ngedere Ungabure,Mchawi Jr hadi FaizerFix wote huingia humu
Km huamini MTUKANE mmoja wao uone km hajaja kukujibu


FaizerFix keshakuja mara nyingi tu kiungwana
Mchawi yeye keshakomenti zaidi ya X 50 ila siku hizi ana kinyongo
Ngedere keshaingia humu kutukana humu kwa kizungu akifikiri hatujui kitu zaidi ya X 3 ila tukampotezea

Sasa ndo itakuwa hao ngumbaru eti hawajui chochote kuhusu hii thread...serious? Lengo lao si ni kiki na kutuchora tu

Hakuna mwanJF ambaye hajawahi kuingia humu hata Max Melo
Trust me or NOT
.........
 
kwendenii!!...hata hamjajua.. nendeni hata pm mkazungumze kwa hayo mafumbo yenyu!..ingekuwa vyema kama hiki kiuzi chenu kinatoa misaada tunayoielewa ila ni kiuzi cha kawaida sana hichi..na hizo likes nazosikia mnapewa mzigeuze hela mlipie bili!..  
 
1/Olm
0ea377f56fc52aa1c87206952e481405.jpg
2aaf0a868fd2bed9798348c6e0077f71.jpg

Hawa ni amphibia waishio kwenye maji ya chinichini
Hupatikana huko Italy, Croatia na Slovenia
Upendelea kujificha kwenye mapango
Wana jeuri ya kukaa bila kula kwa muda wa miaka 10
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
.......
Asante Bitoz
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom