Fresh tuAsante mkuu
Uhali gani bitoz
Ndo ivoAchana nao mkuu..
You don't to disturb your equillibrium
UmenitengaaPoleeeee
Pamoja mkuuWa afya kabisa...
OkReport post zote zitafutwa na watu kupewa adhabu yao
Tatizo hamchukui hatua
.......
Sawa mkuuFresh tu
Ndo naenda kuchukua mbuzi malishoni
....
...
Lee uhali ganiUmenitengaa
Haogopi ban?Acha apewe dozi yake huyo maana anajifanya kawehuka sana
Mi mzima na nimekuulizia leooLee uhali gani
Mke wako mkali nimeamua nikae mbali. Mimi single bwana! Natafuta single mwenzangu tuyajenge!Umenitengaa
Niweke nin sasa wakati simu nshakununuliaaNitakukopesha mjomba kama utaweka 'bond'
Hawa jamaa kazi wanayo make ata jana niliona fact yake ulituwekeaaDID YOU KNOW?
About smoking![]()
Mkuu Gentamycine swala umesha mtafuna, jilambe damu ukanywe maji mtoni then ukajilalie tu.Simba mwenye njaa halafu alikuwa kalala na ghalfa ukamuasha na mbele yake akakatisha Swala mnono unategemea nini hapo Mkuu?
Lakini tulikubariana uwe mshaurii wangu ...Mke wako mkali nimeamua nikae mbali. Mimi single bwana! Natafuta single mwenzangu tuyajenge!
Pamojaa kiongoziiiWakuu nimepost nyingi leo makusudi![]()
Niwatakie jioni njema
.......
YeahBaby wangu sakayo amekuja kuwapa hi...
After 20 minutes atasepa..!
Hii ramadhani sio sitaki aonekaneoneka hivyo.