Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Asante mkuu habr za mihangaiko ya kila sikuKaribuu
Asante mkuu habr za mihangaiko ya kila sikuKaribuu
Nashukuru sana kusikia simu hailetii mushkeriii kabisaaa ...kwa maana ntamtafuta yule teja nimuongezee buku dara ...Seee, nilijua tu, maana hata kava lake sio jipya.
saa nyingine huwa nikiwa napiga moja moja huwa najiuliza kama wewe ni mjombangu kweli au nilisingiziwa. Lakini ukweli ulifanya jambo zuri sana, simu haina shida kabisa.
Njoo hapa tulipokuwa siku ile nina bia zako tatu, leo kuna wacheza shoo mahiri kabisa na wameamua kupima imani za waliofunga hapa bar
Mungu abatuteteeaaAsante mkuu habr za mihangaiko ya kila siku
Mambo mengine naamua mm ...Akiridhia niambie. Niko tayari
Nyinginee ya kutoka porinNshamwachia mie
Ngorongoro ya nn tena mbona huu utarii tosha!?Wadau nipo njiani na shemeji zangu tunatokea Mwanza kuelekea Ngorongoro kuangalia wanyamapori bure![]()
.......
Pamoja kiongoziMungu abatuteteeaa
Binamu ukipewa zawadi usiulize maswali we shukuru tu hata kama mbayaHalafu leo ndo nimeiangalia vizuri, asante kwa simu. Lakini, mbona ulininunulia simu haina chaja?
Nashukuru sana kusikia simu hailetii mushkeriii kabisaaa ...kwa maana ntamtafuta yule teja nimuongezee buku dara ...
Bhinamu mbona hilo swali kuhusu ukweli kama ni.mjomba wako ni kweli au laaha make sijui unanifananisha na anko aliyekuwa zaman anakupakia kwenda nursery... kwann yaan huwa unaniulizia sana ???...kiukweli mm ni mjomba wako kufa kuzikana nimetofautiana na dada yangu kipenz mzaa weee kichogo tu na yeye kuandikia kushoto basi ...
Nashukuru kwa ofa ya leo make aunt yako ata rambirambi nilizokusanya alikusanyaa zote chumban
Dada pole na msibaBinamu ukipewa zawadi usiulize maswali we shukuru tu hata kama mbaya
Sijaona mkuuNimeona FAKALAVA anaulizia nafasi hujampa?
SawaNyinginee ya kutoka porin
Unampigia pande binamu? Ha haaaa. Mi nataka kuchagua mwenyewe. Nilikuchagua wewe ujue..ila ndo hivyo!Mambo mengine naamua mm ...
Alafu nina bhinamu yangu obe sijui leo tutoke out na yeye ...ana jambo muhimu
mjomba wako mambo ya kufunga hayamuhusu binamuSeee, nilijua tu, maana hata kava lake sio jipya.
saa nyingine huwa nikiwa napiga moja moja huwa najiuliza kama wewe ni mjombangu kweli au nilisingiziwa. Lakini ukweli ulifanya jambo zuri sana, simu haina shida kabisa.
Njoo hapa tulipokuwa siku ile nina bia zako tatu, leo kuna wacheza shoo mahiri kabisa na wameamua kupima imani za waliofunga hapa bar
Binamu ukipewa zawadi usiulize maswali we shukuru tu hata kama mbaya

Binamu ukipewa zawadi usiulize maswali we shukuru tu hata kama mbaya
Ila wewe
Pesa yako anayo mdogo wakoo
Nshamwachia mie
Nyinginee ya kutoka porin
Mambo mengine naamua mm ...
Alafu nina bhinamu yangu obe sijui leo tutoke out na yeye ...ana jambo muhimu
mume wa mtu tafuta ambaye hana mkeUnampigia pande binamu? Ha haaaa. Mi nataka kuchagua mwenyewe. Nilikuchagua wewe ujue..ila ndo hivyo!
ujue unanitafutia kesi ya porini ni nini ulinipa