Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mkuu lakini ungeliachana nae make haya mambo huku kwetu hatujayazoeaa ...njia muhimu na nzuri ni kutobishana na jamaa kama huyu ...ni ombi tu

GENTAMYCINE ni mpole na Mtu mmoja mwema sana ILA nina taswira yangu nyingine hasa nikigundua kuwa kuna Mtu ananitafuta kwa makusudi na moja ya Sera yangu ya Kifalsafa kabisa ni kwamba huwa simbakishi Mpumbavu yoyote anayejipendekeza Kwangu tena akiwa na lengo baya. Kama kawaida Ukijamba Mimi Naharisha kabisa.

Kuna Watu wengi sana humu nataniana nao na tena hadi wananipiga Madongo ya maana na nabaki tu nami kuyafurahia na naunyuti Kimtindo na wala siwajibu hovyo hasa ukizingatia kuwa hata Mimi napenda sana Utani na Kutaniwa ila jiulize tu swali kwanini huyo Kinyankera nimempa dozi yake hiyo? Kuna Watu wanataka kuchukulia points au kupata umaarufu kwakuwa tu wanajibizana na GENTAMYCINE humu JF na Mimi nikiwabaini au kuwajua tu huwa siwaachi hivi hivi.

Nimemaliza Mkuu.
 
Hii kitu ulikitegemeaa ??

6d23b47f5913f883394a7d9c12da7f3c.jpg

ca657e0bce0e1c5d2e7b7245d80faa65.jpg
Hapana mkuu sikutegemea
 
GENTAMYCINE ni mpole na Mtu mmoja mwema sana ILA nina taswira yangu nyingine hasa nikigundua kuwa kuna Mtu ananitafuta kwa makusudi na moja ya Sera yangu ya Kifalsafa kabisa ni kwamba huwa simbakishi Mpumbavu yoyote anayejipendekeza Kwangu tena akiwa na lengo baya. Kama kawaida Ukijamba Mimi Naharisha kabisa.

Kuna Watu wengi sana humu nataniana nao na tena hadi wananipiga Madongo ya maana na nabaki tu nami kuyafurahia na naunyuti Kimtindo na wala siwajibu hovyo hasa ukizingatia kuwa hata Mimi napenda sana Utani na Kutaniwa ila jiulize tu swali kwanini huyo Kinyankera nimempa dozi yake hiyo? Kuna Watu wanataka kuchukulia points au kupata umaarufu kwakuwa tu wanajibizana na GENTAMYCINE humu JF na Mimi nikiwabaini au kuwajua tu huwa siwaachi hivi hivi.

Nimemaliza Mkuu.
Nimekupata mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom