Makapuku Forum

Makapuku Forum

Wakuu mnavyohangaika kujibu post za watu wapuuzi ndo unavyotimiza lengo lao la kuichafua thread
Nawaomba mpuuzie mambo ya kipuuzi
Mimi nakuwa mfano kwa kutojibu ishu za kijinga zote
Siyo kwamba sijaziona
Mnachoweza kufanya ni Kureport
Moderator anajua kazi yake
......
 
Nadhani Mimi nimeshamalizana nae Mkuu na namwomba aendelee kunipiga Madongo atakavyo ila sitojisumbua nae kwani nina uhakika kwa dozi niliyompa itamuumiza kwa muda mrefu sana iwe yupo online au offline humu. Napenda nipigwe Madongo ya maana na siyo hayo yake ya Kitoto na Kipuuzi.
Asante Mkuu kwa kwa busara zako zilizotukuka.
 
Nafuta post zangu zote ili nisiwaharibie forum yenu nilikuwa namnyoosha dogo ,dogo kashanyooka roho yangu sasa imekuwa kwatu
 
Naona leo huku Makapuku hewa imechafuka. Tumezoea utangamano, utani na kusemeshana kwa staha. Uwanja wa kutolea stress...

Kwa sasa nadhani ni ku-ignore tu hii vita na obviously vita vya aina hii huwa havina mshindi. Sad! Very sad!
Watu wamekuja kwa lengo maalumu la kuharibu thread pengine ili ipigwe kufuli
Thread imrefikia hapa ilipo sababu tunajua kuignore watu
mfanye mreport upumbavu wote uliopostiwa
........
 
Umerudi ,tena

Nilikuwa nishaanza kufuta post zangu

Sasa ngoja nianze upya

Nafurahi sana ninapoona post zako na nadhani nilikuambia kuwa rukhsa kuendelea kunipiga Madongo ila Mimi wala sitosumbuka kukupiga yangu kwakuwa najua yale Madongo yangu yana life span ya miaka 25 katika Ubongo wako hivyo kwa uzoefu wang mkubwa wa maneno ya Shombo najua nimeshakumaliza na sasa nabaki tu kuangalia post zako huku nikiendelea kukuona Wewe ni Bonge la Guluguja huku nikikusanifu.

Endelea kutiririka na kuserereka Guluguja wangu rukhsa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom