Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mkuu obe habari yako

naamini leo umewaona wakuu humu Jukwaani, hizi ndo moja ya tabia zao, kutojua ni mahali gani wanaweza kuleta matusi na dhihaka zao, yaani hawaridhiki na kuwa kwenye majukwaa ambayo wameanza kutukanana halafu wanakuja humu na kuendeleza matusi (sio kwamba sisi hatutukanani, la. Kwa sababu hatutukanani)

Oh, hivi ninajibu salam yako au naeleza kuwa neno mkuu halinifai mimi. Yote kwa yote, ni vizuri kukuona humu
 
Mmmmh!! ya kweli haya
Kumbuka Australia ni bara na pia nchi
Hivyo imezungukwa na bahari pande zote
Pia ndo nchi/bara lenye maziwa/lakes mengi yenye maji ya waridi(Pink Lakes)
Hivyo hiyo ya beach siyo ishu ya kushangaza maana beach inaweza kuwa ya mtoni,baharini, ziwani
2fc33709b28b748f93a66ca7be93188b.jpg
2db71deba444104e82850c8911d2fd75.jpg

.....
 
naamini leo umewaona wakuu humu Jukwaani, hizi ndo moja ya tabia zao, kutojua ni mahali gani wanaweza kuleta matusi na dhihaka zao, yaani hawaridhiki na kuwa kwenye majukwaa ambayo wameanza kutukanana halafu wanakuja humu na kuendeleza matusi (sio kwamba sisi hatutukanani, la. Kwa sababu hatutukanani)

Oh, hivi ninajibu salam yako au naeleza kuwa neno mkuu halinifai mimi. Yote kwa yote, ni vizuri kukuona humu
Mbona unaeleza kwa kwa uchungu sana mzee wa saa mpya
 
Halafu leo ndo nimeiangalia vizuri, asante kwa simu. Lakini, mbona ulininunulia simu haina chaja?
Natanguliza samahan

Kiukweli hiyo simu sio mpya kabisa ...nilikutana na teja maeneo ya aggrey kariakoo akasema pesa ya njaa ndo nkakumbuka kipenzi bhinamu hana simu ...kwa kukupenda zaidi nkaitafutia kava ya kufunika na kufunua pamoja na skiriinii protektaa
 
Seee, nilijua tu, maana hata kava lake sio jipya.

saa nyingine huwa nikiwa napiga moja moja huwa najiuliza kama wewe ni mjombangu kweli au nilisingiziwa. Lakini ukweli ulifanya jambo zuri sana, simu haina shida kabisa.

Njoo hapa tulipokuwa siku ile nina bia zako tatu, leo kuna wacheza shoo mahiri kabisa na wameamua kupima imani za waliofunga hapa bar
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom