Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,297
NakanaNdiooosi ndio ulivyojibu au unakana
NakanaNdiooosi ndio ulivyojibu au unakana
Nipo mkuuMkinga wetu mr shedede yuko wapiii
Sorry una-details zozote kuhusu ndege walioitengeneza wachina ambayo wao waliiuza nusu ya bei ya boeng tafadhari10/Air India Flight 182![]()
Ndege hii ilikuwa ikisafiri kutoka Toronto Canada kuelekea Delhi India kupitia London England.![]()
Ilikuwa ni ndege aina ya Rowing 747--237B ilitunguliwa Ukiwa umbali wa futi 31,000 kutoka ardhini yaani ilipigwa kombora la Bomu na hivyo kuangukia katika pwani ya Ireland katika bahari ya Atlantiki hii ilikuwa ni mwaka 1987 na kuua abiria 329
Wakanada waliokufa ni 268 wakati Waingereza ni 27
Ndiyo tukio baya kutokea hadi ilipofika 2001 kule kwa Trump
.....

Ubarikiwe T wa Sakayo siku njemaNimepitisha Nukuu tuu wakuu
Tukutane panapo majaliwa.
Asante kwa Nukuu ya Leo T wa SakayoNUKUU YA LEO.
Because i grew up playing for Roma and i want to die playing for roma, because i have always been a Roma's fan
Kwa kuwa nimekuwa nikiwa naichezea Roma , nataka nife nikiichezea Roma kwa kuwa mimi nimekuwa shabiki Roma.
Maneno yalipatwa kusemwa na Francesco Totti mshambuaji wa time ya As Roma na taifa la Italia.
Totti anashikilia rekodi ya kuwa Captain mdogo katika ligi ya Serie A
Amekuwa mfungaji mwenye umri mkubwa kwenye ligi ya mabingwa ulaya.
Anashikilia rekodi ya ufungaji wa penati nyingi Serie A.
![]()
![]()
![]()
Muendelezo tuu wakuu..
Muwe na asubuhi njema.
Nina shida na weweNipo mkuu
Mama mchuchu wa bhinamu uko poaaUbarikiwe T wa Sakayo siku njema
Ubarikiwe mkuu Shululu asante sana kwa magazetiMpaka hapo sina la ziada tukutane tena kesho muda na wakati kama huu kwa udhamini mnono wa Chaplin
Nawatakieni wote siku njema na Mungu awabariki

Niko poa kabisa namshukuru Mungu asante kunikumbuka nakumis pia ubarikiweMama mchuchu wa bhinamu uko poaa
Nakumis
Bhinamu wangu mzima ...??Niko poa kabisa namshukuru Mungu asante kunikumbuka nakumis pia ubarikiwe
Kitamboo![]()
![]()
pApaa kaachwa??!!