sacajo
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 1,385
- 4,493
Kweli kabisaNdo kawaida yetyu..na weww mmoja wetu
Kweli kabisaNdo kawaida yetyu..na weww mmoja wetu
hahhhh hili nalo neno binamu nae mbona anatuangushaUnasaidia anayejisaidiaaa ....sasa bhinamu yeye kaamua kugonga like tu
unakana maneno yakoNakana
shangaa na wwKhaaa![]()
![]()
![]()
imeua watu wengi10/Air India Flight 182![]()
Ndege hii ilikuwa ikisafiri kutoka Toronto Canada kuelekea Delhi India kupitia London England.![]()
Ilikuwa ni ndege aina ya Rowing 747--237B Jumbo Jet ilitunguliwa Ukiwa umbali wa futi 31,000 kutoka ardhini yaani ilipigwa kombora la Bomu na hivyo kuangukia katika pwani ya Ireland katika bahari ya Atlantiki hii ilikuwa ni mwaka 1987 na kuua abiria 329
Wakanada waliokufa ni 268 wakati Waingereza ni 27
Ndiyo tukio baya la ndege kutokea hadi ilipofika 2001 kule kwa Trump
.....
binamuuuu akuje jamaan akija anagonga like anasepaMama mchuchu wa bhinamu uko poaa
Nakumis
Bhinamu wangu mzima ...??
akikujibu niite
hatujamboWerasson,Bitoz,Dikteta Mussolini,Shululu,Sweetpie,Makavelo1,Jimena,Baily5,Jonax,Quigley,shunie,Transcend pamoja na makapuku wotee hamjamboo
Muite dada plsunaenda wapi tena cuzoo
Aiseee4/Cinema Rex fire![]()
Ilikuwa ni Agosti 1978 huko Abadan Magharibi mwa Iran![]()
Shambulio lilifanywa na watu wasiojulikana ambao waliwasha moto mkubwa wakati mania ya watu wakiwa ndani, hapo sasa kila mtu akstaka kujiokoa mwisho wa siku watu 422 walipoteza maisha huku wengi wakiwa km majivu
.....
Wewe jamaa😀😀😛😛
mm sijamuona leo kabisaMuite dada pls
Nouma4/Cinema Rex fire![]()
Ilikuwa ni Agosti 1978 huko Abadan Magharibi mwa Iran![]()
Shambulio lilifanywa na watu wasiojulikana ambao waliwasha moto mkubwa wakati mania ya watu wakiwa ndani, hapo sasa kila mtu akstaka kujiokoa mwisho wa siku watu 422 walipoteza maisha huku wengi wakiwa km majivu
.....
Kanizimia simu aisee leomm sijamuona leo kabisa
Mh umemfanya nini mpaka akuzime simu au umeshalewa balimiKanizimia simu aisee leo