Makapuku Forum

Makapuku Forum

Tayari bingwa wa wivu kesharipuka. Kazi kweli kweli!
hahaha msukuma huwa unanifurahisha sana halaf hiyo avatar yako sijui kwa nini inanichekesha mwanzo nilijua drogba kuangalia vizuri nimebaki nacheka tu
Umejihisi tu. It must be hell kuoa mwanamke mzuri kupindukia. Hata akienda kwenye misiba tu we tumbo moto. Halafu ukipata BP unaanza kutafuta mchawi...
 
hahaha msukuma huwa unanifurahisha sana halaf hiyo avatar yako sijui kwa nini inanichekesha mwanzo nilijua drogba kuangalia vizuri nimebaki nacheka tu
Drogba ndiyo nani? Ni boxer ama? Niko kwenye process ya kubadilisha ID (keep all my posts) na kuwa verified user. Nimeambiwa kupeleka fee ya 30, 000 na aina tatu za ID. Soon nitakamilisha masharti na nitakuwa hapa laivu kabisa mwenyewe kutoka Kolomije...

Kama huwa nakufurahisha ndiyo vizuri. Na ikitokea nikakuudhi uwe unanisamehe kama vile ambavyo tayari umeshafanya mara kadhaa. U binadamu mwema!
 
579765ccb9ba27e17c1434975802d7aa.jpg
Hii nayo kali
 
Drogba ndiyo nani? Ni boxer ama? Niko kwenye process ya kubadilisha ID (keep all my posts) na kuwa verified user. Nimeambiwa kupeleka fee ya 30, 000 na aina tatu za ID. Soon nitakamilisha masharti na nitakuwa hapa laivu kabisa mwenyewe kutoka Kolomije...

Kama huwa nakufurahisha ndiyo vizuri. Na ikitokea nikakuudhi uwe unanisamehe kama vile ambavyo tayari umeshafanya mara kadhaa. U binadamu mwema!
Drogba ni mchezaji mpira msukuma usijal msukuma kuwa na amani
 
TOP TEN
Leo tuangalie matukio ya kigaidi,mashambulizi ya kigaidi/matukio ya kujitoa mchanga 10 ambayo siyo ya zamani sana yaliyosababishwa vifo vingi
Izingatiwe matukio mengine yanawezekana yasiwe ya kigaidi ila yameorodheshwa kwa sababu maalumu na wazee wa maslahi a.k.a Wazungu
Twende kazi.....
***********
 
Tuko pamojaa ..vurumishaa mambo tujionee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom