Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Kumbe!!Kitamboo
Kumbe!!Kitamboo
Upo wewe bitoz wa mabibo8/Karrada Bombing![]()
![]()
![]()
Ni shambulio lililofanywa mwaka 2016 huko Baghdad nchini Irak
Yalikuwa ni mashambulizi matatu tofauti yaliyofanywa na Islamic State katika mji huo wakati wa shamrashamra za Ramadhani
Mashambulizi hayo yaliua watu 341 huku mamia wakijeruhiwa
Lilikuwa ni tukio la pili la kigaidi baya zaidi kutokea nchini humo
........
HatujambooWerasson,Bitoz,Dikteta Mussolini,Shululu,Sweetpie,Makavelo1,Jimena,Baily5,Jonax,Quigley,shunie,Transcend pamoja na makapuku wotee hamjamboo
Daah kitambo sana humuuHatujamboo
Mkuu nipo ntaenda wapiiUpo mkuu![]()
![]()
Duuuuuh ..ila hii naikumbuka ilikuwa hatar kipnd hicho7/Beslan School Hostage Crisis![]()
Hii ilitokea mwaka 2004 wakati Wachechen (Chechnya) wakidai uhuru wao![]()
Sasa wanajeshi wa Chechnya wakaliteka jengo la shule km shinikizo la kupewa Uhuru wao, sasa majeshi ya Urusi yakaamua kukomboa jengo/watu na hapo kuibuka mashambulizi
Mwisho wa siku watu 385 walipoteza maisha
Wahanga wakubwa wakiwa ni watoto
......
TupooDaah kitambo sana humuu
Labda majukumu yamebanaMkuu nipo ntaenda wapii
Naona mnasogeza uziTupoo
Yanabana ndio ila ukipata free kidogo unaicheki family kwanzaLabda majukumu yamebana
Ndo kawaida yetyu..na weww mmoja wetuNaona mnasogeza uzi
Unasaidia anayejisaidiaaa ....sasa bhinamu yeye kaamua kugonga like tu

Atakuwa anajiandaa kufunga dukaMkinga wetu mr shedede yuko wapiii
Situmii Mkuu, ila nikipewa nitajifunza namna ya kutumia.
Sorry unatumia tigo ??
Kweli kabisa,,,,,leo nimeibuka toka vitaniYanabana ndio ila ukipata free kidogo unaicheki family kwanza