Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Ndio rambirambi napokea mmHivi ni kweli ulifiwa?
Ndio rambirambi napokea mmHivi ni kweli ulifiwa?
Thanks mkuuEnd![]()
.....
Umempa utaratibu??nilifiwa ndio
Ingekuwaje kama na binadamu tungelikuwa hivi ??...hii self fertilization ni nzuri kwa hawa viumbe hawasumbuki
Umejihisi tu. It must be hell kuoa mwanamke mzuri kupindukia. Hata akienda kwenye misiba tu we tumbo moto. Halafu ukipata BP unaanza kutafuta mchawi...
Tayari bingwa wa wivu kesharipuka. Kazi kweli kweli!
Pole sana, ni matumaini yangu Mungu kawanyia wepesi juu ya mpendwa wenu.nilifiwa ndio
Not only shrinkage but also an acute decrease in libido!
Umejihisi tu. It must be hell kuoa mwanamke mzuri kupindukia. Hata akienda kwenye misiba tu we tumbo moto. Halafu ukipata BP unaanza kutafuta mchawi...
Mungu kawanyia? Let's not cross a line by mocking God!Pole sana, ni matumaini yangu Mungu kawanyia wepesi juu ya mpendwa wenu.
Usije kutuletea yale ya use and dis useNot only shrinkage but also an acute decrease in libido!
Maisha ni kuchagua jomba. Eat well, take care of yourself, exercise and then dieUsije kutuletea yale ya use and dis use



Check iko mezani, ipitie kesho.Ndio rambirambi napokea mm
Umempa utaratibu??
Kweli kabisa....Maisha ni kichagua jomba. Eat well, take care of yourself, exercise and then die![]()
Mambo siku hiz yamerahisishwa ukitoa ujinga wa tigo na mambo yao unaweza kuwasilisha wewe kwa njia mbadalaCheck iko mezani, ipitie kesho.
did you get me well? Yes, Mungu anafanya wepesi wa mioyo kwa wafiwa.Mungu kawanyia? Let's not cross a line by mocking God!
Poa tupia namba nifanye mihamala.Mambo siku hiz yamerahisishwa ukitoa ujinga wa tigo na mambo yao unaweza kuwasilisha wewe kwa njia mbadala
Ntazipitiaaa shunie anapajuaa atanisindikizaPoa tupia namba nifanye mihamala.