Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
1980 - Kituo cha televisheni cha Cable News Network ( CNN )chaanza kurusha matangazo yake.
....
1980 - Kituo cha televisheni cha Cable News Network ( CNN )chaanza kurusha matangazo yake.
Hahaha ShunieAsante mama angu nimeshapoaniliwamiss sana
binamu kaniambia baba mchuchu kaibiwa simu sasa mama angu yale maflowers yahamishie kwa binamu yangu mama mchuchuasante unazompa zimeshamchosha
Si shemela wako Shunie..... Halafu nikikuuliza wewe moja kwa moja Lee anaweza akaona naanza kukutongoza.![]()
![]()
![]()

1990 - Rais wa Marekani George H.W. Bush na Rais wa Urusi Mikhail Gorbachev wanasaini mkataba wa kumaliza matumizi ya silaha za kemikali.
2009 - Ndege ya Airfrance flight 447 yadondoka huko katika Bahari ya Antlantic na ilipokuwa inatoka Brazil kwenda Ufaransa na kuua abiria wote 228.
Tupo pamoja Obe,asante sana ubarikiwe ...siku njemaHabari za asubuhi makapuku wenzangu! Kumekucha na kama kawaida tunachofanya ndicho tulichonacho (unakipenda au hukipendi.. a bird in the hand ...)
Asanteni sana shululu , lee empire BlessedHope kwa magazeti, UF na sala. Mnaifanya forum hii kuwa hai sana na mnatufanya member wa humu kuwa na afya njema (serious)
Shunie , sijui niandike nini ndo ujue kuwa nilikumiss sana humu, ulimisiwa na kila mmoja humu na tulilia na wewe msibani na baadaye tukasema haya ni maisha na yaendelee. Karibu sana, hakuna jipya ni yale yale labda upande wangu tu kuna mabadiliko kidogo, si sana
BH yupo na bado ninaridhika na asante, mkongo kaibiwa simu so maua yatanyauka tun, na shedede katuzuga na hadithi fupi isiyo na mwisho, tunaisubiri. Hey, karibu.
Tuwe na wakati mzuri Makapuku wote
Amen SHIMBA YA BUYENZE Ubarikiwe
1926 - Marilyn Monroe anazaliwa.
Alikuwa ni mrembo matata aliyetikisa Marekani miaka ya 1950 mpaka 1960's.
Inadaiwa aliwahi kutoka kimahusiano na Rais wa 35 wa Marekani, John F. Kennedy na kaka yake Robert F. Kennedy.
Asante LeeWakuu tukutane baadae
Tukasakee tonge
Umepata uchochoro wa kukimbilia...sina hasira yoyote shedede atakuja kujibu
1985 - Mapacha Nick na Sam Young wanazaliwa.
Ni wachezaji wa mpira wa kikapu kutoka nchini Marekani.
1986 - Moses Ndiema Masai anazaliwa.
Ni mwanariadha kutoka nchini Kenya.
1988 - Javier Hernandez Chicharito anazaliwa.
Straika wa zamani wa Man Utd ambaye pia huchezea timu ya taifa ya Mexico.
- Siku ya Unywaji maziwa Duniani.
Shululu vipi tenaAisee

Huhuhuhulinamo amemuulizia leo shemela
Shunie anakudanganyaKweli![]()
![]()
Hapa ndo umenikoshanitake radhi mimi yanga hapana aisee haijawahi tokea wala haitatokea