mzeewakungoa
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,969
- 13,920
Shunie wewe si Yanga.... Hans Pope wetu unamtakia [emoji2]hans pope kwani anakaa mitaa ya huku au
Shunie wewe si Yanga.... Hans Pope wetu unamtakia [emoji2]hans pope kwani anakaa mitaa ya huku au
Asante mama angu nimeshapoa [emoji120] niliwamiss sanaShunie karibu na pole sana mwanangu ,nimefurahi umrrudi salama Mungu aendelee kukuimarisha nakuombea Amani[emoji7] [emoji7] Love you always[emoji7] [emoji7]
sijaelewa hapa [emoji121] kwa nini umuulize shededeKumbe Shunie wa Tanga.
kweliii shemela labda haujaona aliuliza yule kaka yuko wapiKweli [emoji15] [emoji15]
[emoji2] [emoji2]Nyagei Chaplin Unatafutwaaaaaaaa pande hii
kweli sijui au naweza nikaijua nisijue ni ya hans popeKweli
cha bigbon kama unaenda meedaNyuma ya kituo cha mafuta
nitake radhi mimi yanga hapana aisee haijawahi tokea wala haitatokeaShunie wewe si Yanga.... Hans Pope wetu unamtakia [emoji2]
Mambo mshikaji wangu. Kuna taarifa nilipewanitake radhi mimi yanga hapana aisee haijawahi tokea wala haitatokea
poa mshkaji wangu taarifa zipi hizoMambo mshikaji wangu. Kuna taarifa nilipewa
Si shemela wako Shunie..... Halafu nikikuuliza wewe moja kwa moja Lee anaweza akaona naanza kukutongoza. [emoji2] [emoji2] [emoji2]sijaelewa hapa [emoji121] kwa nini umuulize shedede
Ulipata msibapoa mshkaji wangu taarifa zipi hizo
sawa ni shemela wangu lakini hawezi jua lolote kuhusu mm likiwepo kabila langu mzee wa kungoaSi shemela wako Shunie..... Halafu nikikuuliza wewe moja kwa moja Lee anaweza akaona naanza kukutongoza. [emoji2] [emoji2] [emoji2]
ni kweli nilipata msibaUlipata msiba
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] samahani Sana. ....mi nilijua wewe kandambili.nitake radhi mimi yanga hapana aisee haijawahi tokea wala haitatokea
Pole Sana mshikaji wangu. Wifi yako aliniambia. Mungu akupe nguvu sanani kweli nilipata msiba
hapo sawa[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] samahani Sana. ....mi nilijua wewe kandambili.
Ha ha ha ha ha ha.... Basi Niambie wewe mwenyewe.sawa ni shemela wangu lakini hawezi jua lolote kuhusu mm likiwepo kabila langu mzee wa kungoa
Jaman asante sana mshikaji wangu nimeshapoa [emoji120] msalimie sana madame sPole Sana mshikaji wangu. Wifi yako aliniambia. Mungu akupe nguvu sana