Makapuku Forum

Makapuku Forum

Morning all
Niliimiss sana hii familia, asanteni sana sana kwa pole na salaam mbarikiwe sana [emoji120]

inauma sana katika familia kupoteza watu wawili muhimu ndani ya siku moja hatuwezi kumkufuru Mungu yeye ndio anajua kwa nini imekua hivyo Mungu baba muweza wa yote [emoji120]

Lee wangu nakushukuru sana kwa kuwa na mimi bega kwa bega katika kipindi hiki kigumu
Mungu azidi kukubariki na Mungu azidi kuniwekea [emoji120]
Nilikumiss sana kivuruge wangu [emoji8]

Tunamshukuru Mungu tulisafiri salama na kurudi salama kutoka Tanga kuzika [emoji120]

Mbarikiwe sana muwe na siku iliyo njema [emoji120]
Pole sana Mkuu.
 
Leo Katika Historia:

1958 - Rais wa zamani wa Ufaransa Charles De Gaulle anatoka mapumzikoni na kuongoza nchi tena kwa miezi sita.
2d7d423aee32fc232e99a185e19df828.jpg
4873496f2b71be0e47ece085df487b1f.jpg
Alikuwa pia ni Jenerali wa Jeshi la Ufaransa
Alizaliwa Nov 1890 na kufariki dunia Nov 1970
....
 
Back
Top Bottom