Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Umepata uchochoro wa kukimbilia...
Mimi pia wa Tanga mwenzio.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Umepata uchochoro wa kukimbilia...
Mimi pia wa Tanga mwenzio.
![]()
![]()
![]()
Kuna wabongo hawanywi maziwa hadi siku waugue
Ila pombe haivuki wiki
.....
Sawa, inaonekana walimkubali sana.
Alikuwa pia ni Jenerali wa Jeshi la Ufaransa![]()
Alizaliwa Nov 1890 na kufariki dunia Nov 1970
....
Urafiki wa mashaka
Ni makubaliano ya kutekeza silaha za kikemikali na kutotengeneza zingine![]()
Ila inaonekana hazikuteketezwa zote wala nini ilikuwa zuga tu na waliendelea kuzitengeneza kimyakimya
.....
Asante kwa nondoz
Ni mmoja kati ya wana wake warembo weupe kuwahi kutokea![]()
Ila aliutumia vibaya urembo wake
Kwani ni mmoja wa warembo wa kizamani maarufu kwa kupiga picha za utupu
Ni km Naomi Campbell wa zama hiziSiyo tu inadaiwa bali ni muna kaukweli kwamba JFK alikuwa anakula mzigo...![]()
JFK ni mmoja wa marais wa USA wapenda totoz hata mkewe alikuwa ni mrembo
Kilichofanywa na Marilyn Monroe ni km alichofanya Naomi Campbell kulala na Charles Taylor![]()
Ili kutunza heshima ya Rais JFK FBI chini ya Edgar Hooverwakatia mkono na kufanya mambo kimyakimya
Na kwavile M arilyn alikuwa ni mlevi na malaya basi inadaiwa walimuua kwa sumu
Km picha inavyoonekana Alikuwa chumbani kwake akiwa amekufa usingizini
Pembeni zilionekana dawa za kulevya na pombe{inadaiwa ziliwekwa na FBI km zuga tu) au alitegeshewa sumu kwenye kinywaji
....
Ni muhimu tu kiafya haswa kwa wanafanya kazi kwenye vumbiHa ha hahahaha, kwani ni lazima kunywa?
Yaani mnakunywa tu mnajiwekea na sherehe,, mbona hamuwakumbuki wanyonya maziwa