[emoji2] binamu mama mchuchu amekubaliHahaha Shunie
ni mrembo kweli
Ni mmoja kati ya wanawake warembo weupe kuwahi kutokea duniani![]()
Ila aliutumia vibaya urembo wake
Kwani ni mmoja wa warembo wa kizamani maarufu kwa kupiga picha za utupu
Ni km Naomi Campbell wa zama hiziSiyo tu inadaiwa bali ni kuna kaukweli kwamba JFK alikuwa anakula mzigo...![]()
JFK ni mmoja wa marais wa USA wapenda totoz hata mkewe alikuwa ni mrembo
Kilichofanywa na Marilyn Monroe ni km alichofanya Naomi Campbell kulala na Charles Taylor![]()
Ili kutunza heshima ya Rais JFK Maofisa wa FBI chini ya Edgar Hooverwakatia mkono na kufanya mambo kimyakimya
Na kwavile M arilyn alikuwa ni mlevi na malaya basi inadaiwa walimuua kwa sumu
Km picha inavyoonekana alikutwa chumbani kwake akiwa amekufa usingizini
Pembeni zilionekana dawa za kulevya na pombe{inadaiwa ziliwekwa na FBI km zuga tu) au alitegeshewa sumu kwenye kinywaji
....
hbd chicharito1988 - Javier Hernandez Chicharito anazaliwa.
Straika wa zamani wa Man Utd ambaye pia huchezea timu ya taifa ya Mexico.
Asante sana Mussolin [emoji120]Pole sana Mkuu.
Huo uboss wa kibashite
Chizi yule kocha![]()
Sikumwelewa LVG alipoamua kumuuza![]()
.....
[emoji2] [emoji2] [emoji121] ni kweli![]()
![]()
![]()
Kuna wabongo hawanywi maziwa hadi siku waugue
Ila pombe haivuki wiki
.....
[emoji2] [emoji2] cuzooHuhuhuhu
lini nimeanza uongo mimi cuzooShunie anakudanganya
[emoji2] [emoji2] na cuzooAnatafutwa na nani tena[emoji36] [emoji36]
team mnyama [emoji4]Hapa ndo umenikosha
Lisa Van Gal(LVG)Chizi yule kocha
sawa mzee wa kungoa me ni mchagaUmepata uchochoro wa kukimbilia...
Mimi pia wa Tanga mwenzio.
[emoji2] [emoji2] binamuuuuHa ha hahahaha, kwani ni lazima kunywa?
Yaani mnakunywa tu mnajiwekea na sherehe,, mbona hamuwakumbuki wanyonya maziwa
[emoji2] [emoji2]Ni muhimu tu kiafya haswa kwa wanafanya kazi kwenye vumbi
Hao wa kunyonya labda nimewasahau au pengine wana siku yao
....