Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Jangwani hiyo hata maji yakija huduma muhimu inaendelea kupatikanaItakuwa kwa mtogole
Jangwani hiyo hata maji yakija huduma muhimu inaendelea kupatikanaItakuwa kwa mtogole
Inaitwa ngumi ya uso point kachukua kiulainiUmetisha sana na hongera sana,
Naona Nyagei hakuelewa kabisa hayo mashambulizi yako
Nahisi kama Alaves kumfunga BarcelonaUmekuwa kama celta vigo
Tuko pamoja mkuu, piga kazi200k
kwanza tujipe hongera wenyewe kwa kila mmoja waliopo active kuanzia kitambo,sasa na kesho
nimeingia ktk hii familia mwezi wa 12 mwaka jana nakumbuka kipindi kile nilikuta kama posts 120k, na post yangu ya kwanza humu ndani niliandika namba yake ila kwa sasa nishasahau kwa kipindi hiko sikuwa active kwa sana...
Mondray huyu braza ndiye alienileta humu na kufanya mm kuwa active mpaka leo
kwa kipindi hiko nilikuta watu kama Queen Kan, Nyagei, Emmyta, Lee, Shunii, Sakayo, Transcend, Mussolin, Bitoz, BH, Werrason na wengine, baada ya siku 2,3 Shedede nae akatinga...
kwenye wengi kuna mengi, kuna baadhi ya watu washawahi kunikwazwa kwa namna moja au nyingine "sitaweza kuwataja hao watu" pia siwezi kusemea kwa upande wao ila kama kuna niliyemkwaza anisamehe kwa kweli
humu ndani nitakosekana labda leo na kesho ila sitakosekana kwa kipindi chote
credit kwa Bitoz na timu yake kwa ujumla kwa kuleta kitu kama hiki humu jf
nimejifunza na nitajifunza mengi
PoleJamani nimechelewa hadi imefika 200k![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Naomba kujua ana uwezo wa kukimbia kwa kasi ya Km ngapi kwa saa8/Mbuni![]()
![]()
Ndiye ndege mkubwa zaidi duniani
Huwa na kimo cha mita 2.7
Pia huwa na uzito takribani Kg 157![]()
Yai lake huweza kufikisha uzito wa Kg 2
.....
Kuna Mamba wanaitwa Gladiator hao wapo vipi?7/Mamba Wa Majichumvi![]()
![]()
Hawa ni mamba waiahio kwenye majichumvi
Ndio reptilia wakubwa zaidi duniani
Huwa na urefu wa mita 5
Mkubwa zaidi alipatikana akiwa na urefu wa mita 6.3 na uzito wa Kg 1900(karibia Tani 2)
......
Anatisha huyo6/Whale Shark
Hawa ni papa jamii ya nyangumi![]()
Ndio samaki wakubwa zaidi duniani
Huwa na urefu wa mita 13.5 na uzito kufika Tani 22
.....
Kulikuwa hakukalikiAnawaza na kuwazua. Maisha!
![]()
KiruuRombo hali bado ni tete!![]()
![]()
Anapatikana wapi hasa?2/Colossal Squid![]()
![]()
![]()
Hawa ni ngisi wakubwakubwa
Huwa na urefu wa futi 60 hadi 90(mita 27)
Ndio wanyama wenye macho makubwa zaidi duniani...macho yao yana kipenyo cha Sm 25
......
Shukrani sana mkuu1/Blue Whale![]()
![]()
Aina hii ya nyangumi ndo inashikilia rekodi ya mnyama mkubwa zaidi duniani![]()
Urefu wao hufikia mita 30
Uzito wao hufikia Tani 180
Ulimi wao una uzito sawa na tembo mkubwa
Moyo wao una ukubwa/uzito sawa na gari
.
.
.
.
Viumbe vya majini vimetawala list km kawa
*List ya sumu wao
*List ya kuishi miaka mingi wao
Kiufupi kaa mbali na bahari
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
......
Na kulala je
Nini tafsiri ya neno bure?Haya sawa. Gharama za usafiri?
Muziki: Usizibane Hisia Zako
Habari Makapuku, ni usiku mwingie tena, waliomaliza majukumu ya kujitafutia kipato, hongera na wale night shifters basi 'good luck'. Mimi sijambo na ninajisikia vema sana kukutana nanyi hapa, Makapuku forum, sehemu ya maarifa, utani, kujamiiana na zaidi ni serikali ndani ya serikali. if that makes sense, if not, ni jioni tena na usijali maana kutakucha.
Well, segment ya gitaa na muziki ndo inayonifanya niwe sehemu ya Makapuku, na wewe unayejipa muda kuipitia basi tambua kuwa ninakuthamini sana maana wewe ni 'great pipo'.
Basi kama umesoma aya hizo hapo juu (ambazo huwa ni balah blah kujazisha ukurusa) basi turudi kwenye utamu wa gitaa katika muziki na leo tunamwangalia mtaalam wa sauti za kubembeleza Michael Bolton.
Yes, si wote mnajua kuwa jamaa mbali na kuwa na sauti nzuri kwa ajili ya watu wazima, jamaa ni mtaalamu wa kupiga gitaa na alipiga katika bendi ya muziki wa Rock miaka hiyo hajaamua kujikita kwenye 'soul', keshacheza sinema pia na kuandika vitabu.
Sikiza sauti yake katika 'pini' lake 'when a man loves a woman'
Hadi wakati mwingine tena. LLL
Hapo anataka aitumeMizinga kila kona dah!![]()
AmenAYUBU 11
18.Nawe utakuwa salama ,kwa sababu kuna matumaini;naam,utatafuta -tafuta kando yako,na utapumzika katika salama.
19.Tena utalala,wala hapana atakayekutia hofu;Naam,wengi watautafuta uso wako.
Asante Mungu kwa ulinzi wako,asante kutufikisha umbali huu ,tusaidie tuzidi kukutafuta nyoosha mkono wako kutukinga na maovu ,tamaa,dhambi za kila namna,Roho Mtakatifu uwe mwalimu wetu mwema tuf
undishe kutenda mema ,tukae mbali na uovu ili tusahau tabu na mashaka yote.
asante Baba kwakuwa utatenda sawa na mapenzi yako.
Katika jina la Yesu Amen
USIKU MWEMA MBARIKIWE![]()
![]()
![]()
Shukraniii..
Kweli bro tumetoka mbali aisee tumekutana wote wageni humu nashukuru hapa Kp ndio pamenifanya mom kujulikana na kufahamiana na memba mbalimbali.
Tuko pamoja ila mm lika lako tu sio mkubwa ki hivyo..

Mambo ya Transcend haya