shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Aisee, RIP NoriegaManuel Noriega amefariki Dunia.
Aisee, RIP NoriegaManuel Noriega amefariki Dunia.
Yai lake ni gumu sana8/Mbuni![]()
![]()
Ndiye ndege mkubwa zaidi duniani
Huwa na kimo cha mita 2.7
Pia huwa na uzito takribani Kg 157![]()
Yai lake huweza kufikisha uzito wa Kg 2
.....
Aisee, huyu hata kupambana naye ni issue7/Mamba Wa Majichumvi![]()
![]()
Hawa ni mamba waiahio kwenye majichumvi
Ndio reptilia wakubwa zaidi duniani
Huwa na urefu wa mita 5
Mkubwa zaidi alipatikana akiwa na urefu wa mita 6.3 na uzito wa Kg 1900(karibia Tani 2)
......
Duh5/Brown Bear
Hawa ni aina ya dubu wenye rangi ya kahawia![]()
Ndio wanyama walao nyama pekee(carnivores) wakubwa zaidi duniani
Huwa na kimo cha mita 3 na uzito wa Kg 907(karibia Tani 1)
......
Hapo wamefuta kiingilio tu nadhani ambayo sio ishu sana.4/Twiga![]()
![]()
Ndio wanyama warefu zaidi duniani
Huwa na kimo cha takribani mita 6
Uzito wao ufikia Gani 2
.
.
Serikali si imetoa ofa ya siku 3 kwa Watanzania kutembelea mbuga za wanyama
Nendeni mkajionee
......
Kumbuka ulinzi hautatoshaHapo wamefuta kiingilio tu nadhani ambayo sio ishu sana.
Ishu ni usafiri wa ndani ya hifadhi kama vile kushuka kwenye kreta pale Ngorongoro.
Tutaliwa na simba4/Twiga![]()
![]()
Ndio wanyama warefu zaidi duniani
Huwa na kimo cha takribani mita 6
Uzito wao ufikia Gani 2
.
.
Serikali si imetoa ofa ya siku 3 kwa Watanzania kutembelea mbuga za wanyama
Nendeni mkajionee
......

Kumbuka ulinzi hautatosha
Hivyo mtaambulia kuliwa na Simba na chui
Kisha serikali itakusanya rambirambi za kutosha
![]()
![]()
![]()
.......

Kiingilio ni sh 3000Hapo wamefuta kiingilio tu nadhani ambayo sio ishu sana.
Ishu ni usafiri wa ndani ya hifadhi kama vile kushuka kwenye kreta pale Ngorongoro.
Haya sawa. Gharama za usafiri?Kiingilio ni sh 3000
Na kulala jeHaya sawa. Gharama za usafiri?
Asante bitoz kwa top ten1/Blue Whale![]()
![]()
Aina hii ya nyangumi ndo inashikilia rekodi ya mnyama mkubwa zaidi duniani
Urefu wao hufikia mita 30
Uzito wao hufikia Tani 180
Ulimi wao una uzito sawa na uzito wa tembo mkubwa
Moyo wao una ukubwa sawa na gari
.
.
.
.
Viumbe vya majini vimetawala list km kawa
*List ya sumu wao
*List ya kuishi miaka mingi wao
Kiufupi kaa mbali na bahari
.
.
Ahsanteni mliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
......
Niambie my swi