Makapuku Forum

Makapuku Forum

Tuwe na siku njema wakuu..

But remember ....

cc1e49519f1c7244ec5a0edfa84d60b8.jpg


Shukrani
Shukrani mkuu
 
Habari za asubuhi Makapuku.
Naomba samahani kwa wapenzi wote wa gitaa kwa link mbovu iliyotokea jana usiku. Ndo changamoto ya tech hiyo na simu niliyoletewa na anko Lee ina mbwembwe nyingi.

najaribu kukirudia kibao nilichokipandisha jana. Kifupi tu nilisema, Michael Bolton mbali na kuimba anajua sana kupiga gitaa akiwa kishawahi kupiga katika band ya muziki wa Rock.

Na jamaa ni vegetarian😀

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom