Kama ulayaMambo hayo
Nimeivizia hii tangu jana. Dikteta umeniwahi. Hongera sana. Ungekuwa na strategies kama hizi bila shaka usingemhusudu Hitler kiasi kile mpaka kuanguka naye. Tuko pamoja!

Mjenzi wa kaburi hakutaka ku-classified hivyo halina madharaNyie fukueni makaburi tu. Mengine yana laana na ukiyafukua hutabaki salama. Mfano inasemekana watu wote waliofukua kaburi la huyu dogo hapa chini wote waliangamia mmoja baada ya mwingine. Mpaka leo wanasayansi wanakuna vichwa kujua hasa ni nini kiliwaua. Na kwa nchi yetu hii makaburi yakifukuliwa, sidhani kama kuna atakayesalimika - si wa kule wala wa huku. Uozooooo!!!![]()
Chini zege tupuSubiri joto huko ndani lizidi hayo matofali yalike halafu malighafi iripuke. Majirani watatafutana!