Makapuku Forum

Makapuku Forum

Jibu langu hapo juu bado linasimama. Bila kiweka vigezo unavyotumia kuupimia ustahili, ni vigumu sana kulijibu swali lako.

Swali hili hili linaulizwa na Wamarekani kumhusu Trump na jibu langu ni lile lile. Trump alifuata taratibu zote na akatimiza vigezo vyote na hatimaye akachaguliwa. Kama hastahili (kwa sababu zo zote zile) basi ni tatizo la mfumo na inabidi ubadilishwe. Swali lako, angalau katika hatua chokonozi za awali, linafaa kuulizwa dhidi ya mtu aliyejitwalia madaraka kwa nguvu.
Tuko pamojaa ..

Sijaweka kigezo chochote nikiwa na maana yangu ...

Anyway ni mda kadhaa tangu tumchague na tumeona au tunaweza kumlinganisha na baadhi ya waliotangulia ..

Je kutokana na maamuzi anayoyachukua mbalimbali (aina ya kigezo) ni sahihi anastahili ukilinganisha wadhifa alionao na maamuzi anayoyachukuaa ??
 
617243ade97657e28798f9eb4c5a1d6d.jpg
[/QUOT
Uchochezi huo
 
Nyie fukueni makaburi tu. Mengine yana laana na ukiyafukua hutabaki salama. Mfano inasemekana watu wote waliofukua kaburi la huyu dogo hapa chini wote waliangamia mmoja baada ya mwingine. Mpaka leo wanasayansi wanakuna vichwa kujua hasa ni nini kiliwaua. Na kwa nchi yetu hii makaburi yakifukuliwa, sidhani kama kuna atakayesalimika - si wa kule wala wa huku. Uozooooo!!!
266327f124b92381bff0287134973910.jpg
Makaburi ni shida
 
200k
kwanza tujipe hongera wenyewe kwa kila mmoja waliopo active kuanzia kitambo,sasa na kesho
nimeingia ktk hii familia mwezi wa 12 mwaka jana nakumbuka kipindi kile nilikuta kama posts 120k, na post yangu ya kwanza humu ndani niliandika namba yake ila kwa sasa nishasahau kwa kipindi hiko sikuwa active kwa sana...

Mondray huyu braza ndiye alienileta humu na kufanya mm kuwa active mpaka leo
kwa kipindi hiko nilikuta watu kama Queen Kan, Nyagei, Emmyta, Lee, Shunii, Sakayo, Transcend, Mussolin, Bitoz, BH, Werrason na wengine, baada ya siku 2,3 Shedede nae akatinga...

kwenye wengi kuna mengi, kuna baadhi ya watu washawahi kunikwazwa kwa namna moja au nyingine "sitaweza kuwataja hao watu" pia siwezi kusemea kwa upande wao ila kama kuna niliyemkwaza anisamehe kwa kweli

humu ndani nitakosekana labda leo na kesho ila sitakosekana kwa kipindi chote

credit kwa Bitoz na timu yake kwa ujumla kwa kuleta kitu kama hiki humu jf

nimejifunza na nitajifunza mengi
 
Jibu langu hapo juu bado linasimama. Bila kiweka vigezo unavyotumia kuupimia ustahili, ni vigumu sana kulijibu swali lako.

Swali hili hili linaulizwa na Wamarekani kumhusu Trump na jibu langu ni lile lile. Trump alifuata taratibu zote na akatimiza vigezo vyote na hatimaye akachaguliwa. Kama hastahili (kwa sababu zo zote zile) basi ni tatizo la mfumo na inabidi ubadilishwe. Swali lako, angalau katika hatua chokonozi za awali, linafaa kuulizwa dhidi ya mtu aliyejitwalia madaraka kwa nguvu.
Nawafatilia kwa ukaribu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom