Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,512
- 21,615
Wanaume wanamuogopa Mwanamke inatia aibu
Hakuna kitu kama hicho nchimbi ni opportunistic tu, labda anauafadhali
Tatizo kanisa halitaki
Kila akikaa muislam pale zengwe haliishi ila tutaona mwisho wake
Tuko na samia
Kimsingi(logically) wanapaswa kujiuzulu wote na uchaguzi uitishwe upya, kwa waliopiga kura walipigia combination yao hata probably walipiga kura(kama kweli kura zilipigwa) kwa sababu ya Nchimbi.Sasa kama ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tena aliyechaguliwa kwenye tiketi moja na Samia, maana yake huwezi kutenganisha kura za Nchimbi na za Samia, kimsingi ni mbia wa urais wa Samia, kwa nini kakubali kujiuzulu kwa sababu tu Samia anataka mabadiliko?
Upo sawa kabisa,hata 2015 CCM walilamba kura kwa kina mama kwa kutumia mgombea mwenza.Exactly.
Kwa nini wabongo wengi hili jambo wanalidogosha sana?
Makamu wa Rais si sawa na Waziri Mkuu ambaye anateukiwa na Rais tu.
Makamu wa Rais anapata nafasi yaje kama running mate wa Rais kwwnye uchaguzi, on the same ticket.
Yani kuna watu wamechagua ticket ya Samia/Nchimbi kwq sababu ya Nchimbi, si kwa sababu ya Samia.
Na hakuna namna ya kujua hao ni wangapi.
Mbona watu wanalidogosha sana hili jambo?
Majina matatu atawatajia Nape 😂
hayo madaraka kayapataje? Usichukulie poa kujiuzulu kwa makamu wa Rais kuna athari za kisiasa, bunge linaweza kupandwa na mzuka wa kisiasa likaamu kupiga kura ya kutokuwa na imani naye endapo upepo wa kisiasa utavuma vibayaSamia ni Rais wa nchi
Amiri Jeshi Mkuu
Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi
Unataka kumtisha kwa lipi?
Akili za mtu mjinga sana!Tatizo kanisa halitaki
Kila akikaa muislam pale zengwe haliishi ila tutaona mwisho wake
Tuko na samia
Tunasubiri barua ijibiwe(Kukubalika au kukataliwa).Sasa kama ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tena aliyechaguliwa kwenye tiketi moja na Samia, maana yake huwezi kutenganisha kura za Nchimbi na za Samia, kimsingi ni mbia wa urais wa Samia, kwa nini kakubali kujiuzulu kwa sababu tu Samia anataka mabadiliko?
Unajiita big show lakini una akili ndogo kama mbegu ya mchicha.Gwajima anawapotosha sana waimba kwaya
Sababu ya kujiuzulu
Kwanza kabisa si kujihudhulu, ni kujiuzulu.Ata Rais anaweza kujihudhulu👈
na Makamu Rais
anachukua nchi
anaendelea mbele
Kwakuteuwa Makamu Rais
Kisha mambo yanaendelea ✍️
Bora hata Kenya, huko Uganda sidhani kama kuna usalama.Akaishi nje ya nchi hata Kenya tu au Uganda
Udini (Kanisa)unaingiaje hapa?Tatizo kanisa halitaki
Kila akikaa muislam pale zengwe haliishi ila tutaona mwisho wake
Tuko na samia
Leo 25/08/2026 ni Sikukuu ujue.