Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu

Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu

Tulieni kwanza mpate ufafanuzi😁
1000195448.jpg
 
Ni ushauri wangu, vyema akaamua kufunga mdomo wake milele kama alivyofanya Mzee Mpango, otherwise atafanywa aliyofanywa HPolepole ama anayopitishwa TAL

Hii Nchi, kuna watu wamekaa mahali wanaiendesha kwa rimoti

Mkuu britanicca pokea maua yako

Uliona kitambo na kutujulisha
 
Maswali ambayo najiuliza.

Ni trick ipi waliyotumia kum force Nchimbi mpaka kuachia ngazi?

Maana huko nyuma kumekuwa na tetesi za Nchimbi kulazimishwa kujiuzulu.

Je usalama wake ulitishiwa? Au pengine ameamua kukubali kwa lengo la kulinda familia yake kwasababu ni easy target?

Kwasababu hili swala ukilitafakari kuwa ni maamuzi ya hiari, hali make sense kabisa.
Umeunganisha doti kiintelijensia sana! Kumbuka hata ile kauli yake ya nyuma kuhusu katiba mpya ilivyoleta mtikisiko. Lazima kuna trap ilitegwa na mshkaji akaingia mzima mzima mzima.

Ukiangalia kwa jicho la tatu, utagundua kabisa kuwa mchezo ulichezwa kimkakati sana. Hakuna kiongozi wa ngazi hiyo anayeachia ngazi kirahisi hivyo nchini kwetu bila kushikwa pabaya. Security threats au hata tishio la kuchafuliwa vibaya kisiasa lazima vilikuwepo mezani, naona kabisa aliamua kupiga hesabu za haraka akaona it's not worth the fight.
 
Back
Top Bottom