Yeah upo sahihi MkuuRA atakua anawakilisha mfumo...hata kununua ile taasisi kwa jirani nadhani ni mpango kazi zaidi kuliko biashara.
Tukikubali kwamba Nchimbi kachaguliwa na wananchi, for arguments sake, najua hii hoja ina matatizo mengi, lakini labda tuondoe CCM, tumuondoe Nchimbi, tuiangakie katiba tu.Rais atateua mtanzania kutoka bara, kisha jina lake litapelekwa Bungeni, wabunge watapiga kura kuidhinisha uteuzi.
Ikiwa kura hazitatosha atateuliwa mwingine.
I'm not very sure TISS huwa wanatumia intimidating tactics zipi kuwalazimisha watu kutii lakini jamaa ni mdhaifu(mentally weak) sana, wangeweza kumtenga kivyovyote vile lakini yeye akaamua kuwawekea uso wa mbuzi na kukomaa hapohapo. Ile kuonana na Jakaya ilikuwa ni ameitwa kuongezewa pressure(it's likely walikuwa wanamshindwa ndiyo wakalazimika kumtumia mastermind JK), Kikwete anatafuta chawa atakayeendelea kulinda maslahi na ya mafisadi wenzake beyond 2030 kwani wamejifunza through a very painful way pale Mwendakuzimu alivyowageuka.Naam,
Kimantiki kama umechanganya maji na mkojo kwenye ndoo moja, ukinywa huwezi kusema hapa nakunywa maji tu wakati mkojo ushachanganyika humo na huwezi kuutenganisha.
Maana yake kama watu waneeapigia kura Samia na Nchimbi pamoja, huwezi kisema Samia kapigiwa kura na Nchimbi alikuwa kidampa wake msindikizaji tu.
Nchimbi kaondoka kiboya kuliko Ndugai.
Yani bora hata Ndigai unaweza kusema wangemletea figisu kwenye chama angeondoka tu.
Nchimbi hata wangemfukuza CCM bado angekuwa Makamu wa Rais tu.
Nafikiri huyu jamaa ana akili sana' na anaficha codes ndani ya sentence zake....rejea uzinduzi juzi alipoongea kwa sekunde kadhaa kisha akawa anatabasamu.Sababu ni hiiView attachment 3656569
jifunze kuandika ndugu,sio hafe ni afe
Wala hunijui,wala hatujuani.Jifunze kukubali kufundishwa ndivyo utakavyopiga hatua mbeleWe si ndio Mwalimu wangu vipi unanichomesha na ela ya remedial ulikula 🤠🤠
Mimi namuaminia! Atakuwa amejipanga kwa ajili ya mashambulizi ambayo yanaweza kuiokoa Tanganyika yetuNafikiri huyu jamaa ana akili sana' na anaficha codes ndani ya sentence zake....rejea uzinduzi juzi alipoongea kwa sekunde kadhaa kisha akawa anatabasamu.
Matatizo ni.I'm not very sure TISS huwa wanatumia intimidating tactics zipi kuwalazimisha watu kutii lakini jamaa ni mdhaifu(mentally weak) sana, wangeweza kumtenga kivyovyote vile lakini yeye akaamua kuwawekea uso wa mbuzi na kukomaa hapohapo. Ile kuonana na Jakaya ilikuwa ni ameitwa kuongezewa pressure(it's likely walikuwa wanamshindwa ndiyo wakalazimika kumtumia mastermind JK), Kikwete anatafuta chawa atakayeendelea kulinda maslahi na ya mafisadi wenzake beyond 2030 kwani wamejifunza through a very painful way pale Mwendakuzimu alivyowageuka.
ni muda wa ngoni migration toleo la pili😃😃Kumbe Wangoni hatubabaishwi na mambo madogo kama madaraka.
Duuh umenena.Hao wabunge wa kupiga kura seriously wako wapi?
Hao wote njaa kali boss wao akija na jina lolote mkononi hata la zezeta hakuna wa kusema hafai lazima kura zitoshe.
Duuuh alipewa pasi akazingua kuimalizia kwenye nyavu. Noma sana.Unganisha dots
Natamanigi huu udini mnaowekaga uje ujitokeze mpigane waislam na wakristo pengine ndo mje mheshimiane.
Maana kila jambo lazima muweke udini.
Jokate, Nchimbi ni wa kabila lenu?Wangoni nyie ambae superstar wenu ni bambo.
I wonder
Inasemekana mpango wa kumuweka kizuizini(illegal home confinement) ulishaandaliwa kama option ya mwisho kama asingekubali kujiuzulu, hao watu humo CCM wako very weak hauwezi kuwalinganisha na type za Lissu ambaye ameshawahi kumiminiwa risasi na bado anaendelea kupambana. Hao wa huko CCM kiburi chao kinatokana na nguvu ya vyombo vya dola otherwise wasingekuwa na uwezo wa kuongelea chochote. Lissu kakomaa ku-compromise, kaamua kusimamia principles na ethics pamoja na vitisho + vishawishi ambavyo vimefanikiwa kumfanya Mbowe kuhasi harakati na kuwa chawa, upuuzi unaoendelea. Nchi na mifumo viko corrupted kwa kiwango kikubwa mno.Matatizo ni.
1.Hawa watu kama Nchimbi hawafanyi siasa za kusimamia principle, wanafanya siasa za maslahi.
2. Ni waoga wanaogopa kuuawa. Na hii inaendana na 1 hapo juu. Mtu anayefanya siasa za principle anaweza kufika sehemu asiogope hata kufa. Tundu Lissu anaweza kutoka gerezani siku yoyote akikubali masharti, lakini kakataa na yupo tayari kifa kwa ajili ya principles zake.
3. Wana makandokando yao mengi wanaogopa wakikataa kujiuzulu yatafumuliwa. Hii lia inaendana na 1 hapo juu na sehemu ya uoga ya 2 hapo juu.
4. Kwa sababu ya 1 hapo juu, wanaona bora wajiuzulu wasifanyiwe figisu kwenye kupoteza mafao yao manono kama viongozi na madeal yao mengine.