Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 88,730
- 155,873
Naam,Kimsingi(logically) wanapaswa kujiuzulu wote na uchaguzi uitishwe upwa, kwa waliopiga kura walikuwa walipigia combination yao hata probably walipiga kura(kama kweli kura zilipigwa) kwa sababu ya Nchimbi.
TISS intimidation working perfectly.
Kimantiki kama umechanganya maji na mkojo kwenye ndoo moja, ukinywa huwezi kusema hapa nakunywa maji tu wakati mkojo ushachanganyika humo na huwezi kuutenganisha.
Maana yake kama watu wamewapigia kura Samia na Nchimbi pamoja, huwezi kusema Samia kapigiwa kura na Nchimbi alikuwa kidampa wake msindikizaji tu.
Nchimbi kaondoka kiboya kuliko Ndugai.
Yani bora hata Ndugai unaweza kusema wangemletea figisu kwenye chama angeondoka tu.
Nchimbi hata wangemfukuza CCM bado angekuwa Makamu wa Rais tu.