Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu

Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu

Tatizo kanisa halitaki

Kila akikaa muislam pale zengwe haliishi ila tutaona mwisho wake

Tuko na samia

on the bright side labda mngetafuta pia muslim mwenye high iq ili kuepuka "mizengwe" kwani hii "mizengwe mingi iko justified" mbona wapo (muslims) wengi tu wanao tosha mpaka sasa hivi hakuna hata mmoja mliotuletea ambaye alistosha ...
 
on the bright side labda mngetafuta pia muslim mwenye high iq ili kuepuka "mizengwe" kwani hii "mizengwe mingi iko justified" mbona wapo muslims wengi tu wanao tosha ...

Nyinyi kanisa mna nongwa sana

Mwinyi hakuwahi kuwa mwema kwenu kisa muislam

Mkapa akawa safi kwenu

Kikwete ikawa kila siku waraka warakaa isiyo na mbele wala nyuma

Magufuli kwenu kanisa ikawa safi hata alipigwa huyo lisu wenu na kukandamizwa kwa demokrasia...nyinyi kwenu ikawa safiii

Amekuja huyu Samia mkaanzia pale pale mlipooshia mara nchi imeuzwa kwa waarabu mara hili mara lile

This time around tupo doria sana mkae mkilitambua hilo
 
Kama alimaanisha kudai Katiba mpya, na sio plan ya pamoja kuwafariji Wadanganyika,, nadhani akimbie Nchi haraka hata leo leo.

Na huenda tayari nyumba yake imeishazingirwa na wasiojulikana.
Sidhani kama amefanya kosa kubwa la kumfanya kuwa mkimbizi.
Nadhani abaki nyumbani ale pensheni yake kwa uhuru.
 
Nchimbi Hana hayo maajabu
naona ccm imezoea kuwachukulia poa makada wake vigogo na kuwaona si chochote si lolote, kigogo yeyote wanaweza kumtosa na kumsulubu na hata kumpoteza siasani, rejea ya Nape, Polepole na wale wadogowadogo wanaoishi kwa matumaini wakiamini ipo siku watarudishwa hatamuni
 
coincidence?👇👇
coincidence?👇👇


Uyu alikuwa anaumwa

Watumishi wa nawao ni Binadamu wanakufa kwasababu mbali mbali
Kwanini afe mpishi mmoja tu‼️

Kama kuna yumkin dhana
yoyote 👈
Please iyo picha Mnamtumia vibaya
Kumbukeni uyu Dadayetu anandugu wanauchungu na kuondokewa na Mpendwa wao✍️
 
Itoshe kusema sisi si watanzania bali ni watumwa wa JK milele na milele.
Samia amewekwa na JK na Kila aliyejaribu kupiga kelele kuanzia msuya, polepole na sasa nchimbi ametupwa shimoni.

JK nation , Kodi tunakusanya kwa ajili ya JK,majeshi yote yapo kwa ajili ya JK tunasubiri Nini kutangaza rasmi kama sisi ni watumwa wa JK

Gwajima anawapotosha sana waimba kwaya
 
Back
Top Bottom