Soulja boy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 4,618
- 8,060
Kabisa abdal kichwa waz alitake control 😃😃Nimetapeliwa na demu pale SGR station Dodoma kwa njia ya ajabu Sana kwa ("ahadi ya mapenzi.")
Kichwa cha chini kilikuwa kimeshapata moto, ukashindwa kuushirikisha ubongo vizuri, usitafute mchawi nani, ni wewe mwenyewe.