Mnyenz
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 4,853
- 13,147
Ameshaingia mpaka rum probably na mzigo alikua ameshakula.Mkiwa room anakuomba mil 3 umtumie sasa hapo umetapeliwa wapi bwashee?
Hela alituma ya nini sasa?
Mwanaume ukishakojoa tu inabidi na vipaumbele vibadilike.
Hajiulizi ni kwa nini malaya huwa wanataka hela yao kwanza kabla ya kitu chochote?