😂😂😂😂😂😂😂 nimecheka km chiziii.Hiyo 3m ungeenda Riverside ungefunga na vijiwe vyenyewe vyote na change ingebaki😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂Hata wasukuma wauza ng'ombe Pugu mnadani hawatapeliwi kindezi hivyo!
Ww n mpumbavu kama Wapumbavu wengineNdugu zangu tuchukue tahadhari tukitembelea Dodoma hususani wageni wa mji wa Dodoma (demu unamkuta yupo pale pa kusubiria wageni kama TAXI driver vile anasubiria Mgeni, kwa shepu na muonekano lazima ujichanganye. Tukiwa Kwenye gari anadai twende tukalale kwake badala ya hotel.,.).
Nimetapeliwa na demu pale SGR station Dodoma kwa njia ya ajabu Sana kwa ahadi ya mapenzi.
Demu anaonekana anajiweza sana, muonekano na gari analotumia. Ghafla akadai anafanya biashara ya pikipiki anataka tufanye wote. Tukiwa room anaomba nimtumie 3m kutoka benki yangu kwenda akaunti yake ili kumlipa supplier wake wa Dar.
Mpaka muda huu najiuliza nilitoaje Ile pesa huenda anatumia dawa aisee
Dada upumbavu wangu NI kukuamini?Ww n mpumbavu kama Wapumbavu wengine
Ilitakiwa ufirw3 Ndo akili zikurudiDada upumbavu wangu NI kukuamini?
😅😅We unatuonaje....unatufananisha na walokole gani mkuu???
Sisi sio viazi
Hahaaa
Unanibatiza kabila 😀😀😃Wewe sio mchaga ni mkurya
Kasome ulovyoamdila r BADALA ya l SHUREE NI NINIUnanibatiza kabila 😀😀😃
Noma sanaaaaaaMwambie huyo dogo aje PM nimpe lecture, kwanza ukikutana na manzi kahaba kaa kimasta hakikisha komfuu ziwe nyingi taichii taikwando ni muda wote na hakikisha hakuelewi kabisa, wengi hua wanadraw in convo makusudi kabisa ili akulengeshee kwenye target akitaka kukujua hakikisha unakwepa huo mtego fanya kila unaloweza asikujue kabla hujaingia mtegoni na jua muda wa kujiondoa using'ang'anie pussy ya manzi kahaba sio yako peke yako
Nilikua na mtania Min me , just joking TU, kwa min me😊Kasome ulovyoamdila r BADALA ya l SHUREE NI NINI
Sijamaanisha kwamba ni wewe, nimeongelea kwa KeFu,,k off mimi ni kidume nakupa tu code