Makahaba/Matapeli wa mapenzi SGR station Dodoma

Makahaba/Matapeli wa mapenzi SGR station Dodoma

1. Ndugu zangu tuchukue tahadhari tukitembelea Dodoma hususani wageni wa mji wa Dodoma (unamkuta yupo pale pa kisubiria wageni kama vile anasubiria Mgeni, kwa shepu na muonekano lazima ujichanganye. Miwani Kwenye gari anadai twende ukalale kwangu.,.).

2. Nimetapeliwa na demu pale SGR station Dodoma kwa njia ya ajabu Sana kwa ahadi ya mapenzi.

3. Demu anaonekana anajiweza sana, muonekano na gari analotumia. Ghafla akadai anafanya biashara ya pikipiki anataka tufanye wote. Tukiwa room anaomba nimtumie 3m kutoka benki yangu kwenda akaunti yake ili kumlipa supplier wake wa Dar.

4. Mpaka muda huu najiuliza nilitoaje Ile pesa huenda anatumia dawa aisee
Tukiwa room anaomba nimtumie 3m kutoka benki yangu kwenda akaunti yake ili kumlipa supplier wake wa Dar.

4. Mpaka muda huu najiuliza nilitoaje Ile pesa huenda anatumia dawa aisee😀😀😀
 
Mimi kwenye maulevi nilisha tunza kwenye live band zaidi ya mil 2 ,ambayo ni pesa ya mtaji wangu ambayo niliweka ni karata yangu ya mwisho ya kutoboa Seran 😅
Ukageuka mzamiru katunzii, mpakanjiaaa, ndama mutoto ya ng'ombe, papa musofee😂😀

Kaka Kila mtu anayo mapito yakeeeee niliwai chunwa mpaka nauli na nikafukuzwa usiku saa sita nikatembea kwa miguu kilometer 8 mpaka home🏠 natania TU mkuu 😂😂
 
Kutapeliwa kisa penzi la mtu ambae humjui nalo ni tatizo lingine.

Mwisho wa yote pole, 3 million kwa usawa huu ni nyingi. Huwa nikifika Dodoma ni moja kwa moja hotel ambayo nakuwa nimefanya booking, baada ya hapo ndio meeting na mtu tu ambae nina miadi nae nje ya hapo hapana, hii popote napo enda sio dodoma tu ( nimejiwekea huo utaratibu )
Kulala na mtu usiyemfahamu ni risk, wewe upo kama mimi, najiwekeaga huo utaratibu, hata akitokea mwanamke wa kulala heri, ni bora ukaingia gharama ya kuchukua lodge nyingine kuliko kulala sehemu uliyofikia tena ndani ukiwa na mali zenye thamani.
 
Hahahahahaha, anataka akamloge boya mwingine tena atoe pesa🤣🤣

Ila walevi tuna honga bila hata kuichapa hili linaniuma sana😭
Ukishapiga mitungi unachohitaji ni kupata raha sio karaha..😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom