tabibumtaratibu
JF-Expert Member
- May 29, 2011
- 2,414
- 1,216
hahahaha et kiushuzi...Sema ulichomfanya kushika makalio haitoshi yeye kukukimbia..watoto wa siku hizi hawezi kimbia kwa kushikwa kiushuzi chake
ILA kweli mkuu
hahahaha et kiushuzi...Sema ulichomfanya kushika makalio haitoshi yeye kukukimbia..watoto wa siku hizi hawezi kimbia kwa kushikwa kiushuzi chake
Ulianzaje shika kalio lake? Huna adamu mbakaji tu weww nfyuuuuuu wanaume kama nyie nawatafuta nukuwanyonga tu.... mbakaji mdhalilishaji mkubwa huna adabu........ mbakaji nyambafu kabisa unatueleza tufanyaje we mbakaji mpuuuzi mkubwa wewe....... umeniharibia siku limbwa libeberu wewe..
Inabidi na wewe ushikwe
Huyo dada ana akili sana abarikiwe aishi miaka mingi tena Mungu aje ampe mume mwema sio kama aliyepewa dada yake. Hebu tubu hiyo dhambi kwa mkeo haraka.kama unataka amani ya moyo. Kuna mambo yanatia ukakasi namna ya kuyaelezea kwenye hadhira hata kama tunatumia ID feki. Sijui huu ujasiri watu mnaupataje
mmmh aisee NDOA si mchezo
atakua anampenda sana dada yake mtumie msg shem nisamehe km nimekukwaza ila usieleze kosa lako
Ni askofu wa Anglican na si KKKT, Ni katika kuweka kumbukumbu vinzuri, kesi ipo mahakamani
Ulianzaje shika kalio lake? Huna adamu mbakaji tu weww nfyuuuuuu wanaume kama nyie nawatafuta nukuwanyonga tu.... mbakaji mdhalilishaji mkubwa huna adabu........ mbakaji nyambafu kabisa unatueleza tufanyaje we mbakaji mpuuuzi mkubwa wewe....... umeniharibia siku limbwa libeberu wewe..
Kwa nini amshike kalio huyu shemeji angeendelea kukaa hapo angemfanyia visa .... huyu ni wa kupigwa mbakaji tu huyu
Ama kweli dunian kuna wapumbav, sasa umekuja jf ushauriwe nini?!!
Inabidi na wewe ushikwe
Tamaaaa mbele mauti nyuma