Alidhani tayari amewekewa style ya chuma mboga.Ulivyomuona tu anafungua geti Mawazo yako yote ukazan mpo Club eeeenh....haya sasa yanywe mwenyewe.....
Wadogo zenu wakae kwa baba zao..mi nimeoa wewe halafu unaanza kuja na wadogo zako mi nawabonyeza tu ,majumuisho mtayafanya december huko marangu kuwa nani kabonyezwa sana
Huyo dada ana akili sana abarikiwe aishi miaka mingi tena Mungu aje ampe mume mwema sio kama aliyepewa dada yake. Hebu tubu hiyo dhambi kwa mkeo haraka.kama unataka amani ya moyo. Kuna mambo yanatia ukakasi namna ya kuyaelezea kwenye hadhira hata kama tunatumia ID feki. Sijui huu ujasiri watu mnaupataje
umepaniki mno mama angekuwa jirani angepata kerebu la maanaUlianzaje shika kalio lake? Huna adamu mbakaji tu weww nfyuuuuuu wanaume kama nyie nawatafuta nukuwanyonga tu.... mbakaji mdhalilishaji mkubwa huna adabu........ mbakaji nyambafu kabisa unatueleza tufanyaje we mbakaji mpuuuzi mkubwa wewe....... umeniharibia siku limbwa libeberu wewe..
Kumshika kalio mke wake sio kosa mkuu ruksa.
umepaniki mno mama angekuwa jirani angepata kerebu la maana
Jana usiku nilichelewa kurudi home, sasa shemeji yangu wa kike, mdogo wa wife ndo alikuja kunifungulia mlango. Wakati anainama kufunga komeo la chini la gate la mlango nikamshika makalio. Alisimama kwa haraka, akaniangalia usoni kwa macho ya ukali, then nikaona machozi yana tiririka, akaondoka kwa speed kwenda chumbani kwake.
mimi nikafunga mlango nikaenda kulala. Asubuhi tumeamka tumekuta shemeji yetu kachukua kila kilicho chake na katimua. Hapokei simu yangu wala ya wife. Hajaacha ujumbe wala taarifa yoyote. Tumejaribu kuwapigia ndugu wa karibu ikiwa ni pamoja na wazazi wake kama wana hii taarifa lakini hakuna anayejua lolote. Mke wangu kaniuliza kama nilikwaruzana naye muda wa hivi karibuni lakini nikamwambia sijakwaruzana naye chochote. Huyu binti ni mpole na hanaga mambo ya mapepe kabisa.
UPDATES
ukweli tukio hili lilitokea out of my control. Ilitokea tu nikashika. Lakini mbona tukitokaga out, club huwa tunacheza pamoja na wakati mwingine na minya kabisa makalio. Kwa nini kushika tu mara moja this time iwe Shidaaaa
chonde chonde ulevi nooooma 1`a..