miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
Teh nadumisha tamaduni zile tumeachiwa na wakoloni
We ni mbakaji
Teh nadumisha tamaduni zile tumeachiwa na wakoloni
Haha haha haaa duuh!Mhhh kazi ipo, au aliinama makusudi ufanye hivyo ili atimue. hapo yupo analiwa na mjamaa wake.
Heheheheheh shikamooo jamii forums
Jf never get boring kwakweli
mkuu, jiandae kumfuata mbakaji mwenzako, emmanuel mbasha, segerea mkanyee debe wote.
....mimi kwangu akija shemeji huwa nahesabu kuwa ni mke wangu...
Mtikila mwenyewe alienda mahakamani kisa alishikwa makalio na Askofu wa KKKT.
Mtu hashikwi makalio bila ridhaa yake though hii ya kwako imekaa kama furahisha genge Tu.
Child based Violence and Gender based violence at the same time~~~~~~.