Mpitagwa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2012
- 2,338
- 1,126
dada,mimi ni mnywaji mzuri tu. Pombe haitungi mambo ila inakupa ujasiri wa kufanya yale yaliyokujaa moyoni mwako. Kwahiyo naomba usiisingizie pombe kabisaa.mkiambiwa pombe ni haramu mnabisha!
Ungekuwa hujalewa usingethubutu kufanya hivyo.