miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
ndio wanavyodanganyana eti ndio ulijari kula kuku na mayai yake!!!
Yjinga tu na ushamba
ndio wanavyodanganyana eti ndio ulijari kula kuku na mayai yake!!!
Hah ha ha...hujapasua keybaord kweli?
neno "mbakaji" limeaonekana mara 4 kwenye hii comment, hii inaonesha jamaa yaliyomo kweli yamo.
kuna siku utamshika hata mkweo
Hujatuliaaaa nakuambiaaaaaaa lo mtatufanya tusiishi na wadogo zetu
Huo ni udhalilishaji.....sijui ndo hvyo
Uo mkono wako haujaona sehemu zote za kushika isipokua makalio
Jana usiku nilichelewa kurudi home, sasa shemeji yangu wa kike, mdogo wa wife ndo alikuja kunifungulia mlango. Wakati anainama kufunga komeo la chini la gate la mlango nikamshika makalio. Alisimama kwa haraka, akaniangalia usoni kwa macho ya ukali, then nikaona machozi yana tiririka, akaondoka kwa speed kwenda chumbani kwake.
mimi nikafunga mlango nikaenda kulala. Asubuhi tumeamka tumekuta shemeji yetu kachukua kila kilicho chake na katimua. Hapokei simu yangu wala ya wife. Hajaacha ujumbe wala taarifa yoyote. Tumejaribu kuwapigia ndugu wa karibu ikiwa ni pamoja na wazazi wake kama wana hii taarifa lakini hakuna anayejua lolote. Mke wangu kaniuliza kama nilikwaruzana naye muda wa hivi karibuni lakini nikamwambia sijakwaruzana naye chochote. Huyu binti ni mpole na hanaga mambo ya mapepe kabisa.
UPDATES
ukweli tukio hili lilitokea out of my control. Ilitokea tu nikashika. Lakini mbona tukitokaga out, club huwa tunacheza pamoja na wakati mwingine na minya kabisa makalio. Kwa nini kushika tu mara moja this time iwe Shidaaaa
Mweleze waifu wako ukweli, nadhani muafaka utapatikana namna ya kumpata
"Upumbavu pia ni kipaji"-Nyerere.