Majanga: Nimemshika shemeji yangu makalio

Majanga: Nimemshika shemeji yangu makalio

kila jumapili mara ndo mara ya kwanza kupanda ndege nk au kwa kuwa wengi wanakuwa hawafanyi kazi wanatumegea vimbwaga
 
Ulianzaje shika kalio lake? Huna adamu mbakaji tu weww nfyuuuuuu wanaume kama nyie nawatafuta nukuwanyonga tu.... mbakaji mdhalilishaji mkubwa huna adabu........ mbakaji nyambafu kabisa unatueleza tufanyaje we mbakaji mpuuuzi mkubwa wewe....... umeniharibia siku limbwa libeberu wewe..

Hahahahahaaah,,,,,,,punguza jazba bibie
 
angeacha kameseji
"Shemeji sijapenda ulivyonifanyia" halafu ndio angesepa
Na vipi shemeji angemwambia mkewe kuwa mdogo wake alikuwa anamtaka kimapenzi akamkatalia. Unafikiri mdogo mtu atakuwa na hali gani. Mi nimeona katumia busara tu kuondoka angegombana na ndugu zake bure. Ukimya saa nyingine ni jibu linalojitosheleza kabisa
 
Hayatuhusu. This is your private business. within your family.
Man just wants to talk it out. That is why he share this with us. Moreover, may be this happened before to one of the member so someone might narrate how he/she unscrewed this type of issue. It was iMind now we have weMind. IMHO
 
Intelejensia Yangu inaniambia kuwa
ulikuwa unamtongoza shemejio kwa muda mrefu...
Na hilo kalio hukumshika kwa bahti mbaya....bali ulidhamiria
Maana ulilipapasa kiutundu mpaka akakushangaa..
kwa hiyoo sitakosea nikikuita mbakaji..aliyekosa shabaha...
 
Na kweli mkono ulifikaje mpaka huko, kalikoroga huyo
 
Fix tu huyo hii ni gea ya kwamba umtafutie chumba chake ili na yeye akufaidi kama dada yake anavyokufaidi,usimpigie simu wewe subiri yeye ndiye atakayekupigia.
Nalog off
 
Man just wants to talk it out. That is why he share this with us. Moreover, may be this happened before to one of the member so someone might narrate how he/she unscrewed this type of issue. It was iMind now we have weMind. IMHO

saaf
nashukuru kaka
 
Ulianzaje shika kalio lake? Huna adamu mbakaji tu weww nfyuuuuuu wanaume kama nyie nawatafuta nukuwanyonga tu.... mbakaji mdhalilishaji mkubwa huna adabu........ mbakaji nyambafu kabisa unatueleza tufanyaje we mbakaji mpuuuzi mkubwa wewe....... umeniharibia siku limbwa libeberu wewe..

dadaah punguza munkari, labla atuambie uyo shem alikuwa darasa la ngapi!!!!!...
 
miss strong huyo dada ana busara sana hiyo evidence angeiacha ndoa ya dada yake si ingekuwa inapumulia ICU na siajabu anajua dada ake asingemsikiliza labda angeamini wako hivyo siku nyingi au shemeji yake angemgeuzia kibao hilo jambo liko so complicated

Japo ni jambo gumu ill umenichekesha kweli ndoa kupumulia ICU...hii..hii..hii..!😂
 
Last edited by a moderator:
Kalio tu? Yaani kalio hili hili au jingine? Tena kashikwa na dume sio jike jenzie halafu anamaindi? Aaagghhh mi siamini kabisa! Kama kaondoka ujue alitaka ufanye kubwa zaidi ya hilo halafu wewe ukaishia njiani. Jifunze kujituma na uache choyo
 
mara moja tu ndo kasepa? itakuwa umeshamchosha na hiyo tabia....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom