Huwezi acha sms ya namna hii wakati unaena TAMWA.angeacha kameseji
"Shemeji sijapenda ulivyonifanyia" halafu ndio angesepa
mara moja tu ndo kasepa? itakuwa umeshamchosha na hiyo tabia....
Very complicated!
Labda ulishaanza kuchombeza maneno maneno ukaona haitoshi. A step further ukashika kalio. Next ungekamata kabisa. Ndio maana kakimbia.
Let us assume kinyume chake sasa. Ungekuwa unaishi na mdogo wako akamshika mkeo kalio - ingekuwa vipi hapo?
Kwa nini amshike kalio pumbafu.kabisa
labla atueleze alimshaje!!! pengine alikumbuatia kalio la shem kistail!!!! au aligusa tu.
labla atueleze alimshaje!!! pengine alikumbuatia kalio la shem kistail!!!! au aligusa tu.