Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,679
- 4,381
tehe kweli jamaa mlafi
Ni USA mkuuHivi ni UK au USA nilisikia "wana maintain database" ya potential sex offenders. mtu akikuhisi unamtolea mimacho na kumlegezea anaripoti watu wana update data, sasa ole wako ufanye kosa utinge police, zina pigwa queries mara profile yako inaibuka "potential sex offender" huchomoki lazima ule mvua
Ulianzaje shika kalio lake? Huna adamu mbakaji tu weww nfyuuuuuu wanaume kama nyie nawatafuta nukuwanyonga tu.... mbakaji mdhalilishaji mkubwa huna adabu........ mbakaji nyambafu kabisa unatueleza tufanyaje we mbakaji mpuuuzi mkubwa wewe....... umeniharibia siku limbwa libeberu wewe..
una mkaza????
Inabidi na wewe ushikwe
Ningemtia dole
Jamaa mbeba vyuma kila sehemu kuna misuli akikubana utajuta kuzaliwa na kidole chako na kilivyo laini
Mweleze waifu wako ukweli, nadhani muafaka utapatikana namna ya kumpata