Majanga: Nimemshika shemeji yangu makalio

Majanga: Nimemshika shemeji yangu makalio

huna akili kabisa wewe umejidhalilisha vibaya sana huyo angekuwa sister yangu Agogwe ningekuvunja taya😡
 
Jana usiku nilichelewa kurudi home, sasa shemeji yangu wa kike, mdogo wa wife ndo alikuja kunifungulia mlango. Wakati anainama kufunga komeo la chini la gate la mlango nikamshika makalio. Alisimama kwa haraka, akaniangalia usoni kwa macho ya ukali, then nikaona machozi yana tiririka, akaondoka kwa speed kwenda chumbani kwake.

mimi nikafunga mlango nikaenda kulala. Asubuhi tumeamka tumekuta shemeji yetu kachukua kila kilicho chake na katimua. Hapokei simu yangu wala ya wife. Hajaacha ujumbe wala taarifa yoyote. Tumejaribu kuwapigia ndugu wa karibu ikiwa ni pamoja na wazazi wake kama wana hii taarifa lakini hakuna anayejua lolote. Mke wangu kaniuliza kama nilikwaruzana naye muda wa hivi karibuni lakini nikamwambia sijakwaruzana naye chochote. Huyu binti ni mpole na hanaga mambo ya mapepe kabisa.

UPDATES
ukweli tukio hili lilitokea out of my control. Ilitokea tu nikashika. Lakini mbona tukitokaga out, club huwa tunacheza pamoja na wakati mwingine na minya kabisa makalio. Kwa nini kushika tu mara moja this time iwe Shidaaaa

Nakuelewa sanaa...acheni tu kuna ma watoto wengine wanajua ku hamasisha balaaa. Mdogo wa kike wa wife wangu nae yuko vizuri sanaa, sumtyms nahisi huko tuendako ntakuja vunja amri ya 6 nkiwa nae.
 
come clean bro! na utulizane maana ange respond yangeendelea ya kuendelea, ukitamani shika lako au la mkeo.
 
Lengo lako hasa lilikuwa ni LIPI?Baada ya kumshika makalio Ungemshika na wapi tena?Ungelala chumbani na mkeo au kwa shemeji yako?Na km ungelala na mkeo ina maana umemfanya shemeji yako catalyst?Je baada ya kumshika makalio na labda genye zimepanda nani ATAMKUNA?
Nipe namba yake nikusaidie kumtafuta
 
wa kuoa wako wapi vijana wa siku hizi hawashikiki.

nimekumiss aisee...
this weekend , we have a cup of coffee together.

Wallahi tena niinbox number tu ntakutafuta wallahi.
Tatizo we ikishafikaga siku ya siku unapotea.
 
Intelejensia Yangu inaniambia kuwa
ulikuwa unamtongoza shemejio kwa muda mrefu...
Na hilo kalio hukumshika kwa bahti mbaya....bali ulidhamiria
Maana ulilipapasa kiutundu mpaka akakushangaa..
kwa hiyoo sitakosea nikikuita mbakaji..aliyekosa shabaha...

Uko sahihi na atakuwa alianza 'kumlilia hali' kuanzia huko kwenye kuchezacheza. Mtu akikufungulia geti unapoingia ndani lazima mfunguaji atakuwa kwa pembeni. Hii inaondosha kabisa ' u bahati mbaya' .......
 
Lin, hapana JF siyo Oyee, abwanaaee kachafua hewa humu !! the worst thing Man to do so! (mtu yupo ktk. himaya yako halafu waleta ubazazi huo aaghrrrr) mila ya wapi hiyo?

alafu eti ndio head of the family?kweli mume wengine majanga....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom