Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,554
- 11,485
Helooooooooooooooo!Ruhazwe JR hiyo ni just missing bana
Mamndenyi ni asali wa moyo wangu na yule siwezi kwenda kinyume nae nampenda sana sana
Copy Erickb52
Helooooooooooooooo!Ruhazwe JR hiyo ni just missing bana
Mamndenyi ni asali wa moyo wangu na yule siwezi kwenda kinyume nae nampenda sana sana
Copy Erickb52
tuonane pm mkuu Erickb52 ili tumalizane kabisaaaa, maana narudi mjini siku si mingiHahahahaaa halafu yuko mjini tayari C6 ! Kazi ni kwako wewe mi najua kwa charminglady ntapokelewa kwa mikono miwili ingawa najua kuna watu watachonga sana ila wakichoka watalala!
mmm! baba yangu unasaundi,haya bwana baba,linda usalama wa mama bwana,siunajua tena mama yangu bado mbich hakafu wewe handsome unamezewa mate kila kona humu ndan
Unafuga ng'omba ambaye yupo dom? Atachinjwa ataliwa wewe unabaki kung'aa macho
sasa vile vitu vikikupanda utavitulizaje na kwa jamaa umeshasepa?
umeiba msitari wangu, we jamaa uko wapi? hebu nipigie twende mahala bana sio unashangaa shangaa huko saba saba kwa chini (nshasau jina)
Utasutwa wewe!!!
Pale panaitwa Lumala B.... Kama vipi njoo Ambassador tucheck Match!!!
Ruhazwe JR achana na wapambe akina Erickb52 mimi na Mamndenyi hakuna mpinzani na mwambie nampenda sana aise na namlove sana sana
@