Maisha ya nyumbani raha

Maisha ya nyumbani raha

Hahahah....naona huu muongozo umekaa kuzengea zengea mabinti zangu!!!

charminglady ukitaka upate raha zaidi,mwambie dady wako watu8 aende kwao na mamy wako pia naye aende kwao,alafu unakuwa huru zaidi na dada yako sweetlady yaan full kujiachia hata mkiamua mshinde na vibikini mnazunguka ndani huyu jikoni huyu kule kama miez 9 utanipa majibu
 
Last edited by a moderator:
Nimegukusa that's y!
Mtu ushajua "la kujipimia mwenyewe" na kuukraia!
hom utapawezaje? Kama sio abrakadabra?

Kujua sio issue... Issue ni kuuruhusu moyo kukubali!!! Am happy moyo wangu umekubali hii situation.....
 
Hahahah....naona huu muongozo umekaa kuzengea zengea mabinti zangu!!!

Daddy umeona eehh.... Huyu Mr. Lundenga ana lake jambo. Haiezekani atake ninyi muondoke ati sisi tubaki pekeyetu. Anataka kutufanzaje???????
 
Cheka tu!
Unalo hiloo!
Na hili liwinta la leo Mwanza.
Hivi vile vindege ulivyotuambiaga vinakuja kila usubui windoni kwako, bado vinaendeleza customs yao au vilidisapia ?

Baada ya kuvisema hapa JF vilidisapia... kha wr nawe una kumbukumbu mwehhhh!!!!!
 
Baada ya kuvisema hapa JF vilidisapia... kha wr nawe una kumbukumbu mwehhhh!!!!!

Ndiyo maana nikakuuliza, nilikua nna maana yangu!
Wkt ww unavihabarisha Jf mi kwangu sikuwa naviona vitu kama hivyo.
Hivi karibuni nami vimenitokea !
Swali :
Yawezekana ni vl vyako vimehamia kwangu ?
 
Mkwe naona hapa unamkabidhi fisi alinde bucha...
Erickb52 udenda ushaanza kumtoka loh...
Sio udenda ila ni nafasi ya pekee ambayo nimekuwa nikiiomba itokee na kwa kuwa imetokea basi ni zaidi ya udenda watu8
Pia nafurahi kuwa mkwe wako na wa measkron
Nampenda sana charminglady na yeye ananipenda sema tu tulishindwa kuwa pamoja sababu ya vijimambo!
 
Last edited by a moderator:
Ndiyo maana nikakuuliza, nilikua nna maana yangu!
Wkt ww unavihabarisha Jf mi kwangu sikuwa naviona vitu kama hivyo.
Hivi karibuni nami vimenitokea !
Swali :
Yawezekana ni vl vyako vimehamia kwangu ?

Mh... Yawezekana ndo maana kwangu sivioni tena.... Hebu tupia picha ili nione nijue kama ndo vile vya kwangu!!!
 
Sio udenda ila ni nafasi ya pekee ambayo nimekuwa nikiiomba itokee na kwa kuwa imetokea basi ni zaidi ya udenda watu8
Pia nafurahi kuwa mkwe wako na wa measkron
Nampenda sana charminglady na yeye ananipenda sema tu tulishindwa kuwa pamoja sababu ya vijimambo!

Ngoja tu namie nifumue maiti !
Hata mie CHARMy alishawahi kuninong'oneza kwamba anakumaindi !
Sasa mdogo wangu ngoma ndiyo hiyooo , inavinjari kunako 18 zako.
Huyu dingi watu8 hasumbui sana!
Ukimuanzia kumpa ofa ya ulabu , kila siku tunampiga Senetor 6 hivi tumemaliza game.
 
Last edited by a moderator:
Sio udenda ila ni nafasi ya pekee ambayo nimekuwa nikiiomba itokee na kwa kuwa imetokea basi ni zaidi ya udenda watu8
Pia nafurahi kuwa mkwe wako na wa measkron
Nampenda sanacharminglady na yeye ananipenda sema tu tulishindwa kuwa pamoja sababu ya vijimambo!

Sitaki ugomvi na mashost zangu... Mwana wa mwanaume mwenzio sijafunzwa kupigana wala kusutana....

Copy to: Kipipi, Remmy na Amyner....
 
Last edited by a moderator:
Ngoja tu namie nifumue maiti !
Hata mie CHARMy alishawahi kuninong'oneza kwamba anakumaindi !
Sasa mdogo wangu ngoma ndiyo hiyooo , inavinjari kunako 18 zako.
Huyu dingi watu8 hasumbui sana!
Ukimuanzia kumpa ofa ya ulabu , kila siku tunampiga Senetor 6 hivi tumemaliza game.

Jg Jg Jg... Utasutwa mwanaume wewe... Shaurilo au ndo kampeni manager wa Erickb52... Nina mashaka na wewe huenda umepewa takrima!
 
Last edited by a moderator:
Ngoja tu namie nifumue maiti !
Hata mie CHARMy alishawahi kuninong'oneza kwamba anakumaindi !
Sasa mdogo wangu ngoma ndiyo hiyooo , inavinjari kunako 18 zako.
Huyu dingi watu8 hasumbui sana!
Ukimuanzia kumpa ofa ya ulabu , kila siku tunampiga Senetor 6 hivi tumemaliza game.
Hahahahaaaa aisee kweli jamaa hana shida ndio raha ya kuwa na dingi aloenda shule tena sio za kata lol za tarafa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom