Maisha ya nyumbani raha

Maisha ya nyumbani raha

Sio udenda ila ni nafasi ya pekee ambayo nimekuwa nikiiomba itokee na kwa kuwa imetokea basi ni zaidi ya udenda watu8
Pia nafurahi kuwa mkwe wako na wa measkron
Nampenda sana charminglady na yeye ananipenda sema tu tulishindwa kuwa pamoja sababu ya vijimambo!
. Shem niñi kinaendelea humu ndani?
 
Last edited by a moderator:
Ruhazwe JR hiyo ni just missing bana
Mamndenyi ni asali wa moyo wangu na yule siwezi kwenda kinyume nae nampenda sana sana
Copy Erickb52

mmm! baba yangu unasaundi,haya bwana baba,linda usalama wa mama bwana,siunajua tena mama yangu bado mbich hakafu wewe handsome unamezewa mate kila kona humu ndan
 
Last edited by a moderator:
. Shem niñi kinaendelea humu ndani?
Dah humu sio mabaya ila zunguka zunguka utamkuta Filipo anamtongoza dada mmoja.
BTW Umepotea sana aisee weekend wapi nije kujidunga ndofu moja na wewe?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom