Maisha ya nyumbani raha

Maisha ya nyumbani raha

Na kwa kuwa specific zaidi, hao akina Vin Diesel na Asprin wajitathmini wenyewe na wajiulize jina la kwanza kutajwa hapo ni la nani, hivyo wachanganye na zao!...ningekuwa mimi ndio wao ningejaribisha kwengine!
Hahahahahahaha! Hiyo LIKE aliyokugongea Remmy, mi no comment.

Yanini Malumbano?
 
Last edited by a moderator:
Hao wote zilipendwa na nimeamua zangu kuhamia Digital maana wao naona wameamua kubaki Kilimo Kwanza wakati hata mvua hakuna sijui wanategemea nini!
Usiwawaze coz Remmy taraka tayari Kipipi alikuwa wa mkataba na tushamalizana nae! Amyner sio mgomvi.
Kazi ni kwako!


Hata sikushangai.
Ndo matatizo ya watu mlowahi kuugua kifaduro utotoni!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom