Maisha ya kujitegemea ni magumu nyie

Maisha ya kujitegemea ni magumu nyie

Kila kitu huanza na nia

Ukiweka nia hakutakuwa na kukata tamaa kwenye kuipambania na kuitimiza ndoto yako

Wale tuliozaliwa zamani vijijini, tulipewa elimu ya kujitegemea tangu tukiwa jandoni ili kuwa Baba bora kwenye familia tutakazozianzisha....baada ya hapo ni kupambana kwa kila hatua

Binafsi nilianza kujitegemea mara baada ya kuhitimu kidato cha sita, kwa kuanza kupiga temporary works huku nalima na kununua mazao kwa Wakulima

Hadi naanza first year Chuo Kikuu, tayari nikawa nina biashara ya kulipa kodi Serikalini

Wakati wenzetu wanalia ukata boom linapokata/kuchelewa kwangu ikawa ni tofauti kabisa

Ukiwa na mind set ya hivi, huwezi kukwama...hata tukipoteza mitaji huwa tunajipanga na kurudi tena barabarani
 
Hongera.
 
Hakuna namna nyingine ya kuweza kutoka kwenye maisha magumu zaidi ya kuolewa,kwann mtoto wa kike atafsiriwe vibaya siku zote
hapana sio tafsir mbaya, kuolewa ni heshma kwa mwanamke ndan ya jamii.
Ukiwa kwako raha.

Subiri mwenzio mwenye maono, mshirikiane kujijenga.
 
Mkiambiwa muwaheshimu wanaume mnakuwa wabishi, kuna mtu ameamka asubuhi, anakuwazia wewe na welfare yako, huyu mtu na aheshimiwe sana.
Kwamba anafanya charity kuwaza hiyo welfare yangu?
Unakua house manager,mshauri kiburudisho,incubator bila kusahau kupandandisha thamani ya uanaume wake huko mitaani.
Kwa kifupi wote tuheshimiane tunategemeana.
Ndo maana nimemwambia achague mateso anayoona atayamudu,maana huko ndoani akikutana na mtu kama wewe unaeona unamfanyia hisani mbona maji ataita mma 😩
 
Wakubwa shikamoon

Maisha ya kujitegemea ni magumu sana,yaani upange chumba ulipie,kisha uanze kupambana na daladala kukupeleka kazini siyo Jambo rahisi ,kiufupi narudi nyumbani kuteseka siyo sifa.

Siwezi kuuza mwili wangu ili kutimiza baadhi ya mujukumu huu ni utumwa kwangu sikubali lol
kua maskini au tajiri Tanzania ni uamuzi binafsi tu.

kupanga ni kuchagua
 
Mie nimejaa tele kama pishi la mchele. 🤪.
Umekuwa adimu hadi kufanya wazee tupite redio Tanzania kuweka tangazo kukutafuta 😜
#Hivi ndo wanasemaga duniani wawili wawili eeh. Naomba usiniulize kwanini. 💃
Usitake kuniamrisha kuvua hili koti wakati unajua koti la babu lina chawa 😂
 
Wakubwa shikamoon

Maisha ya kujitegemea ni magumu sana,yaani upange chumba ulipie,kisha uanze kupambana na daladala kukupeleka kazini siyo Jambo rahisi ,kiufupi narudi nyumbani kuteseka siyo sifa.

Siwezi kuuza mwili wangu ili kutimiza baadhi ya mujukumu huu ni utumwa kwangu sikubali lol
Kuna mtandao ukiingia unakutana na binti wa kitanzania mwenye urembo wa asili, lakini anajiuza kwa bei chee. Unabaki kujiuliza nini kinapelekea hadi binti kama huyu anafikia hatua ya kujiuza.
 
Wakubwa shikamoon

Maisha ya kujitegemea ni magumu sana,yaani upange chumba ulipie,kisha uanze kupambana na daladala kukupeleka kazini siyo Jambo rahisi ,kiufupi narudi nyumbani kuteseka siyo sifa.

Siwezi kuuza mwili wangu ili kutimiza baadhi ya mujukumu huu ni utumwa kwangu sikubali lol
Bibiye, tushauriane kwanza kabla hujafanya haya maamuzi magumu ya kurudi kijijini kushika jembe na kuishia kuzeeka kabla ya wakati wako. Hebu kuwa muwazi, bills gani zinakusumbua sana ili nikushike mkono! 😋
 
Back
Top Bottom