Maisha ya kujitegemea ni magumu nyie

Maisha ya kujitegemea ni magumu nyie

Nimechagua unafuu wa kurudi nyumbani
Ukifeli Town rudi home kaweke Kambi,rudisha mashambuulizi kwa kipa kuanza upya sio dhambi
Wasikikize wazazi changanya na zako
20260311_141126.jpg
 
Wakubwa shikamoon

Maisha ya kujitegemea ni magumu sana,yaani upange chumba ulipie,kisha uanze kupambana na daladala kukupeleka kazini siyo Jambo rahisi ,kiufupi narudi nyumbani kuteseka siyo sifa.

Siwezi kuuza mwili wangu ili kutimiza baadhi ya mujukumu huu ni utumwa kwangu sikubali lol
Njoo uwe mchepuko wangu nikuhudumie
 
Wakubwa shikamoon

Maisha ya kujitegemea ni magumu sana,yaani upange chumba ulipie,kisha uanze kupambana na daladala kukupeleka kazini siyo Jambo rahisi ,kiufupi narudi nyumbani kuteseka siyo sifa.

Siwezi kuuza mwili wangu ili kutimiza baadhi ya mujukumu huu ni utumwa kwangu sikubali lol
Olewa
 
Hayo mambo niya kiume dada.
Mwezi wa sita naleta mahari kwenu.
Njo tujenge maisha yetu, tuwalete wanetu dunian. tulee.

Uniite baba yoyooo
Nikuite mama yoyooo
 
Wakubwa shikamoon

Maisha ya kujitegemea ni magumu sana,yaani upange chumba ulipie,kisha uanze kupambana na daladala kukupeleka kazini siyo Jambo rahisi ,kiufupi narudi nyumbani kuteseka siyo sifa.

Siwezi kuuza mwili wangu ili kutimiza baadhi ya mujukumu huu ni utumwa kwangu sikubali lol
Wanawake hawajaumbiwa MATESO ,acha kujitesa.

Jipende ,Jiheshimu utapata mtu sahisi ambaye atakujali kwa kukupa "TAKO LA NYANI" au ANACONDA uendee nayo kazini na kusort baadhi ya BILLS muhimu.
 
Back
Top Bottom