Maisha ya kujitegemea ni magumu nyie

Maisha ya kujitegemea ni magumu nyie

The joke is on you, ukirudi kwa wazazi utateseka, ukiolewa uhudumiwe utateseka, ukisema ujiajiri utateseka pia 🤣
Kifupi mateso ni kifurushi cha kudumu chagua yenye unafuu kidogo baaaaasi!
Mkiambiwa muwaheshimu wanaume mnakuwa wabishi, kuna mtu ameamka asubuhi, anakuwazia wewe na welfare yako, huyu mtu na aheshimiwe sana.
 
Kuna m.ke uyo alivofika f4 akadai mume baba ake bila ya hiyana akamwambia mlete akaozeshwa baada ya kupata watoto wawili vurugu mechi karudi kwao baba ake kampokea mikono miwili usharudi mwanangu ndiooo mtoto akamdai baba pesa ajiendeleze kielimu baba bila ya hiana akampa mwanawe akasome ile kufika degree anakaribia kugraduate baba ake kafariki ila saivi yupo anapiga masters

Kwaio ni sahihi ulivofanya rudi nyumbani usijekupanga mwisho wa siku ukaishia chovya chovya ya kila aina ya ......
 
Marry Diana,utakaa nyumbani hadi lini? Kuna umri utafikia iwe unataka,hutaki itakubidi ujitegemee, wazazi/walezi/ndugu watakuona mzigo,ila sikushauri uondoke nyumbani ikiwa huna uhakika wa utaishije huko unakokwenda. Jipange hapo hapo nyumbani, eidha uolewe,au uwe stable kiuchumi kuishi peke yako bila kumtegemea mwanaume,ila ukishindwa sana,baada ya plan zote kugoma nitafute tuishi pamoja si mbaya sana
 
Baba najua lazima niwe mwenyewe ila kwasasa Acha kwanza
 
Back
Top Bottom