Maisha ya kujitegemea ni magumu nyie

Maisha ya kujitegemea ni magumu nyie

Wakubwa shikamoon

Maisha ya kujitegemea ni magumu sana,yaani upange chumba ulipie,kisha uanze kupambana na daladala kukupeleka kazini siyo Jambo rahisi ,kiufupi narudi nyumbani kuteseka siyo sifa.

Siwezi kuuza mwili wangu ili kutimiza baadhi ya mujukumu huu ni utumwa kwangu sikubali lol
Kodi unalipa Sh ngapi kwani?
 
Kama hivyo vitu vidogo vimekushinda haki ya nani unaenda kujiuza! Tu-bet nianze kukufuatilia kuanzia sasa hivi tuone kama sijakudondosha! Kwani hapa mjini una kazi gani? Ya kilipwa shilingi 2?
 
Utaishi kwenu, kwa wazazi wako milele? Wazazi wataishi milele?
 
Wakubwa shikamoon

Maisha ya kujitegemea ni magumu sana,yaani upange chumba ulipie,kisha uanze kupambana na daladala kukupeleka kazini siyo Jambo rahisi ,kiufupi narudi nyumbani kuteseka siyo sifa.

Siwezi kuuza mwili wangu ili kutimiza baadhi ya mujukumu huu ni utumwa kwangu sikubali lol
Kama umetest mitambo trigger ikagoma Ku-release, rudi kwa mshua na bi mkubwa uandae majeshi.
 
Dada Marry Diana
Kuna huyu mpumbavu na bwabwa mmoja anawashwawashwa anaitwa choko ELI COHEN alikufunglia uzi kuwa una njaa sana, Pole sana
Ila mimi nashindwa kukutetea sababu unaweza kuwa njemba fulani hata wewe, au hii pia ni ID yake, hebu uje ukanushe mwenyewe inbox, nianze kumvuruga humu huyo bwabwa
 
Mnajazwa upepo na feminists. Mnaitwa malkia wa nguvu, independent women na majina mengine ya kishujaa. Mnapewa motivational speechs na nyie mnavimba vichwa. Mnakuja mtaani kichwa kichwa mnafikiri mtaani ni parahisi tu kila unachogusa unatusua
 
Back
Top Bottom