Maisha ya kujitegemea ni magumu nyie

Maisha ya kujitegemea ni magumu nyie

Hongera sana rafiki .
Nimekukumbuka mno..

Alafu mbna skuizi sioni status zako...
Nimemiss ka mwanya kako 😂😂😂
 
1.Kodi ikizidi tafuta roommate.
2.Pika chakula jioni beba nenda nacho kazini
3.Tafuta accessories uza huko kazini (kama mko wengi) panties, hereni, cheni, boxa, undershirts etc
4. Kama home ni hapo hapo mkoani unapofanyia kazi kaa nyumbani mpaka upate uwezo wa kujilipia kodi.

Constant hapo ni nauli huwezi kukwepa.

Wazazi tuandae maisha ya watoto wetu hata miaka 3 katika ajira zao za kwanza.
 
Bibie unafail wapiii? Njoo unifirisi mihela.
Nikuhudtumie, nikunyweshe, nikuveshe na nikulishe ujazie kishepu, niwe nakufurahia uumbaji wa mungu wetu
 
Mmeshazoea kutegemea wanaume sasa ikitokea mmetemwa mnaanza kuhaha hata kujitegemea tu wenyewe hauwezi😏
 
Wakubwa shikamoon

Maisha ya kujitegemea ni magumu sana,yaani upange chumba ulipie,kisha uanze kupambana na daladala kukupeleka kazini siyo Jambo rahisi ,kiufupi narudi nyumbani kuteseka siyo sifa.

Siwezi kuuza mwili wangu ili kutimiza baadhi ya mujukumu huu ni utumwa kwangu sikubali lol
Pole sana! Unafanyia wapi kazi nikupe hifadhi bure?
 
Hata kuishi nako ni mateso tu kufa ili tukuone una hasira kweli kweli.
 
The joke is on you, ukirudi kwa wazazi utateseka, ukiolewa uhudumiwe utateseka, ukisema ujiajiri utateseka pia 🤣
Kifupi mateso ni kifurushi cha kudumu chagua yenye unafuu kidogo baaaaasi!
Unatakiwa ubet kwenye posibo

Kwamba huyu mngese hata anipigishe deki kwa makalio ila atanilipa tu nyambaf zake
 
  • Kicheko
Reactions: naa
Wakubwa shikamoon

Maisha ya kujitegemea ni magumu sana,yaani upange chumba ulipie,kisha uanze kupambana na daladala kukupeleka kazini siyo Jambo rahisi ,kiufupi narudi nyumbani kuteseka siyo sifa.

Siwezi kuuza mwili wangu ili kutimiza baadhi ya mujukumu huu ni utumwa kwangu sikubali lol
Au nikuazime ki IST changu? Kwanini uteseke.
 
Thanx for the complement😅, huwezi kuwahemu wanaume kama hujaishi single na kujipambania mwenyewe, waliotoka straight home hadi ndoa hawawezi kuelewa
Teh teh teh teeeeeeeh!
 
Back
Top Bottom