Maisha ya kujitegemea ni magumu nyie

Maisha ya kujitegemea ni magumu nyie

Wakubwa shikamoon

Maisha ya kujitegemea ni magumu sana,yaani upange chumba ulipie,kisha uanze kupambana na daladala kukupeleka kazini siyo Jambo rahisi ,kiufupi narudi nyumbani kuteseka siyo sifa.

Siwezi kuuza mwili wangu ili kutimiza baadhi ya mujukumu huu ni utumwa kwangu sikubali lol
Unaenda kazini ili upate nauli ya kwendea kazini
 
Hakuna namna nyingine ya kuweza kutoka kwenye maisha magumu zaidi ya kuolewa,kwann mtoto wa kike atafsiriwe vibaya siku zote
Namna ya kutoka kwenye maisha magumu ndo hiyo kupambana Cutie, Life ain't for the weak.

Hata wanaokuambia kuolewa wanakudanganya. Njia ni moja tu FIGHT, I mean Hustle hard
 
Thanx for the complement😅, huwezi kuwahemu wanaume kama hujaishi single na kujipambania mwenyewe, waliotoka straight home hadi ndoa hawawezi kuelewa
Hata mimi ningeenda straight msingenambia kitu aisee!
 
Back
Top Bottom