Maisha ya kujitegemea ni magumu nyie

Maisha ya kujitegemea ni magumu nyie

Wakubwa shikamoon

Maisha ya kujitegemea ni magumu sana,yaani upange chumba ulipie,kisha uanze kupambana na daladala kukupeleka kazini siyo Jambo rahisi ,kiufupi narudi nyumbani kuteseka siyo sifa.

Siwezi kuuza mwili wangu ili kutimiza baadhi ya mujukumu huu ni utumwa kwangu sikubali lol
Umeshindwa kukaza sio?
 
Basi njoo nikuooe tuishi wote, tugawane huu ugumu
 
Wakubwa shikamoon

Maisha ya kujitegemea ni magumu sana,yaani upange chumba ulipie,kisha uanze kupambana na daladala kukupeleka kazini siyo Jambo rahisi ,kiufupi narudi nyumbani kuteseka siyo sifa.

Siwezi kuuza mwili wangu ili kutimiza baadhi ya mujukumu huu ni utumwa kwangu sikubali lol
Olewa Chief, hutoteseka hivyo ila utapewa raha na huduma tu. Mwezi tu unanenepa.
 
Bado natafuta uhalisia wa hii mada na jukwaa la mahusiano
 
Wakubwa shikamoon

Maisha ya kujitegemea ni magumu sana,yaani upange chumba ulipie,kisha uanze kupambana na daladala kukupeleka kazini siyo Jambo rahisi ,kiufupi narudi nyumbani kuteseka siyo sifa.

Siwezi kuuza mwili wangu ili kutimiza baadhi ya mujukumu huu ni utumwa kwangu sikubali lol
Sasa fikiria upande wa mwanaume. Katika huo huo ugumu kuna binti wa mtu mwenye nguvu na akili timamu kuweza kufanya kazi. Anafikiri ni wajibu wako kumpa hela na kumtatulia shida zake
 
nipate wa hivi nipumzishe miguu yangu na akili maana kila kukicha naiwaza kesho,, saivi narukia daladala kama spiderman😓
Kule kikaoni beijing, getrude mongella alivyowaambia kuolewa na kuwa mke wa kukaa nyumbani ni kukoseshwa haki yako akuwaambia uhalisia wa mtaani?
 
Kwamba anafanya charity kuwaza hiyo welfare yangu?
Unakua house manager,mshauri kiburudisho,incubator bila kusahau kupandandisha thamani ya uanaume wake huko mitaani.
Kwa kifupi wote tuheshimiane tunategemeana.
Ndo maana nimemwambia achague mateso anayoona atayamudu,maana huko ndoani akikutana na mtu kama wewe unaeona unamfanyia hisani mbona maji ataita mma 😩
Unayaongelea kwamba ndio yanafanywa mwanamke yote ni safe and predictable. Hauwezi kufananisha na harsh and uncertainty anazokutanazo mwanaume mtaani. Angalia mwenzenu katema bungo
 
Back
Top Bottom